hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 646
- 1,568
mdogowangu alikuwa Kama wewe hadi tukahisi amerogwa mana kiladawa amekunywa lakini wapi.Aisee π₯π€π€
Sawasawamdogowangu alikuwa Kama wewe hadi tukahisi amerogwa mana kiladawa amekunywa lakini wapi.
nilipo mwozesha akaenda kuchezea rungu malalamiko yatumbo,nyonga na homa zisizo nampango zikaisha.
ilakunadawa yaasili inapunguzaga maumivu ukinywa.kama unahitaji njoo pm nikuelekeze
Niweke hapa kopo la dawa au unamaanisha nini mkuu.Si uweke hapa ili iwe msaada Kwa watu wengi?
Pole sana nicheki nikuambie dawaHabari ya asubuhi,
Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?[emoji29][emoji29]
Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu yake ni shida khaa![emoji2955][emoji2955]
Kuja sehemu nyingine huku chini ni kama sindano zinachomwa chomwa huko ndani, ni full shida yaani haaaa.[emoji24][emoji24][emoji24] Hapo bado uje kwenye matiti ni yanauma jamani,[emoji26][emoji26] yamesimaa halafu ni mekundu, yaana moto kama sijui kitu gani yaani, bra yenyewe nimepata shida kuvaa maana nikivuta tu mkanda nasikia maumivu sio ya nchi hii.
Yaani nimekunywa dawa zote unazozijua za kutuliza maumivu lakini wapi.[emoji29][emoji29] Wakasema ninywe maji ya moto ila nakaribia kumaliza chupa hapa lakini sioni dalili ya maumivu kupungua, mkojo tu unabana nikienda chooni kuchuchumaa nako tabu haaaa![emoji37][emoji37]
Yaani hapa niko ofisini siwezi kukaa, natembea tembea tu muda wote, nasubiri kila mtu aingie ofisini kwake nibebe PC yangu nikajilaze kwenye kochi la wageni pale reception. Maana nina tabu jamani kusimama muda wote, nikisema nikae yaani kama nakalia sindano haaa![emoji24][emoji24]
Wenzangu mnawezaje kuzoea, maana mimi nashindwa jamani? Sijui Mungu aliwaza nini kuniumba wa kike, naumia mwenzenu, [emoji26][emoji26][emoji26]nifanyeje eti?
π€£π€£π€£ Jf wenye tatizo la umeme mdogo vichwani ni wengiVuta bangi
Fanya mazoezi,kula mboga chungu,kunywa tangawiaziHabari ya asubuhi,
Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?ππ
Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu yake ni shida khaa!π€¨π€¨
Kuja sehemu nyingine huku chini ni kama sindano zinachomwa chomwa huko ndani, ni full shida yaani haaaa.πππ Hapo bado uje kwenye matiti ni yanauma jamani,π₯π₯ yamesimaa halafu ni mekundu, yaana moto kama sijui kitu gani yaani, bra yenyewe nimepata shida kuvaa maana nikivuta tu mkanda nasikia maumivu sio ya nchi hii.
Yaani nimekunywa dawa zote unazozijua za kutuliza maumivu lakini wapi.ππ Wakasema ninywe maji ya moto ila nakaribia kumaliza chupa hapa lakini sioni dalili ya maumivu kupungua, mkojo tu unabana nikienda chooni kuchuchumaa nako tabu haaaa!ππ
Yaani hapa niko ofisini siwezi kukaa, natembea tembea tu muda wote, nasubiri kila mtu aingie ofisini kwake nibebe PC yangu nikajilaze kwenye kochi la wageni pale reception. Maana nina tabu jamani kusimama muda wote, nikisema nikae yaani kama nakalia sindano haaa!ππ
Wenzangu mnawezaje kuzoea, maana mimi nashindwa jamani? Sijui Mungu aliwaza nini kuniumba wa kike, naumia mwenzenu, π₯π₯π₯nifanyeje eti?
Sijui nikuelezeje yani nabadilika kabisa πππmda wote unatamani kupiga mtu sioπππ