Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

ahahahahhahahhhaaha nalishwaaaaaa!
naogeshwaaaaaa kwenye mayonaise
af nasuguliwa miguu na mafuta ya karafuu
halafu nalazwa kwenye duvet la Hariri lenye marashi ya asumini
ah wacha kabisaaa!
jamaa katishaaaa!
Mapenzi ya kufikirika haya mkuu
 
MIE SIPENDI MWENYE MANENO MENGII..Aoongee machache na ya busara.
 
Xhaks
Daby
😀😀 Muwe na amani sasa nimewataja hahahahaha
 
Mi najua nanii lazima atanitaja tu sina wasiwasi nae
 
Mapenzi ya kufikirika haya mkuu
mapenzi ni kufikirika best!
au?
we ukiambiwa unapendwa unaaminiga mazima?
ulishawahi kuprove mtu kukupenda?
au kumpenda?
au unaamini tu kuwa unapenda?
hem fikiri upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…