Humu kutwa thread za kutuponda, mara hivi....mara vile, wakati vyanzo ni wao na ulimbukeni wao.Na wakigongewa wanarudi tena hapa,
Utasikia mara ooh wanawake hawajatulia, mara wanapenda hela,
Sasa bila kumpa hela atakuawaje mkali?
Nyie wanaume nyieee,jiongezeni jmn
Madame,Humu kutwa thread za kutuponda, mara hivi....mara vile, wakati vyanzo ni wao na ulimbukeni wao.
Kutwaaaa tuko midomoni mwao kama big G.
Nimetoka kwetu mzima, cha kwenda kupatia kilema kwa bwana ina huuuuu!!!!
Watupishe sie na akili zao nusu kasorobo.
Washazoea vya kunyonga, vya kuchinja vitawatia mgoro!!
Uwakimbie kwa kipi kikubwa tulichowakosea?Madame,
wakitokezea hapa mi nakimbia,mana si kwa kichambo hiki,
Eeeeeeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Humu kutwa thread za kutuponda, mara hivi....mara vile, wakati vyanzo ni wao na ulimbukeni wao.
Kutwaaaa tuko midomoni mwao kama big G.
Nimetoka kwetu mzima, cha kwenda kupatia kilema kwa bwana ina huuuuu!!!!
Watupishe sie na akili zao nusu kasorobo.
Washazoea vya kunyonga, vya kuchinja vitawatia mgoro!!
Ha,haaaaaaaaaaaaaaaaaaUwakimbie kwa kipi kikubwa tulichowakosea?
Na waje, hawana adabu hawa vibaka wa wanawake.
Yaani hakuna siku ipite bila kutukarahisha.
Mie nishawachoka aisee.
Zali la mentali hilo msukumaYou will never go wrong with this Ntuzu brother!
Dey know😉.
Hahaaa yaani we muda wote unawaza mazali tu.Zali la mentali hilo msukuma
Ha haa nimeona, nyie wasukuma kua na wake wengi si kawaida yenu?Hahaaa yaani we muda wote unawaza mazali tu.
Mambo mengine huwa ni utani tu.
Be easy[emoji205]
Halafu naona Afrodenzi kafunguka kwa jamaa yako hapo.
Wivu unao au huna ila kamoyo kanauma?[emoji3] [emoji3]
Daaah! Salama kaka? Habari za masiku?Mkuu nakusalimia...
Mkeo kasafiri?
Sasa si useme tu unanizimikia
Njema sana, umepotea kama Membe mkuu....Daaah! Salama kaka? Habari za masiku?
Nakuja inbox kwa hio kidole isiyo na peteHapana usije nimeshaweka antvirus
HahahahaNakuja inbox kwa hio kidole isiyo na pete
Tupo wengi tusiopendwa humu, usijali sana, mwenzio naenda kujifariji na gembe.Ina maana na mi hakuna anayenizimikia pamoja na U hb wote huu?