Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] @!$€£the michango shem plus avanter too.
teh teh
yes yes shem, kama avanter yako ni nzr kama ya ...utazimikiwa tu[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] @!$€£
hahahahaha umeonaaaeeeee, kizungu kinanogesha aisee, ukija kwenye kifaransa ndo kwisha habari yako.Yes! How do you see? Jejes! Kidhungu kidogo kunogesha.
Wema tupo wachache sana ha ha haaaMkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.
Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!
Pasco
Yani wewe umeshindwa kusemea moyo hadi mwenzio anafuatwa in box ndo unaibuka pole sana sikujua kamaa hujiaminimkuu mimi pasco nakupenda sana na kwa vile sijamtaja mtu basi ni wewe
Hata mimi nakupendaga sana tuu na nadhani kama niliisha ku date humu jf.
Pasco
Tume zubaaje bibie?Hawa wa Jf wamezubaa achana nao[emoji85]
Usichukie kasimame na mchizi utakula kupitia yeyeMnamshibokeea mchizi....
Mnaniudhi nyie....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kila mtu ni mrefu dada.... Kuwa specific.Mm huwa navutiwa na mwanaume mrefu halafu asiwe mweupe hapo moyo wangu kwatu.
Si hamtuoni sie warembo wa jeiefuTume zubaaje bibie?
Yaan wewe... haya tuNavutiwa na The bold humu kwa hadithi na makala, pia Daby hahahaaa ndo namchunguza now km anavigezo...ila anabivutia kuwa mmoja ya wachangiaji waliowah kuzushiwa humu
Navutiwa na Gentamycinie (mods sahihisheni tafadhali)...sijui nimekosea spelingii ila kaelewa
Navutiwa na kaka mshana Jr saaaanaaa tu, pia kaka "the first" kuriplaiii.. Jovere...., pia kiongozi Manga ML
Yan wapo wengi ila hao wananivutia uchangiaji wao, mada zao na ushabiki wao kwa baadhi ya mada ni burudani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngombe wa maskini hazai. Thanks for being occupied. Stick on that and God bless your couple.hahahahaha umeonaaaeeeee, kizungu kinanogesha aisee, ukija kwenye kifaransa ndo kwisha habari yako.
am occupied though.
Teh teh wakubwa utawajua tuUnaweza kuaccess pm yangu, yako siwezi kuiaccess
thanks for the blessings. I value them to the mostNgombe wa maskini hazai. Thanks for being occupied. Stick on that and God bless your couple.
Ladies!
Ha haa nimeona, nyie wasukuma kua na wake wengi si kawaida yenu?
Namsubiri Kiranga aje ahalalishe tu apa niwe na mke mwenza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume anatafuta mwanaume mwenziemm naangalia vigezo vifuatavyo kwa mwanaume
awe hb
awe na six packs au mwili wa mazoez
Awe na swaggz
pesa iongee
Kati ya hivyo hapa at least uwe na kimoja
Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
Kabisa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]naamiini nimeingia cha kike