Toka fasta..utafirwa bure..![emoji12]naamiini nimeingia cha kike
kwani na wewe mwanamke??
Yap ni mwanamke tena wa dar..!
Hebu wataje bwana kudhihirisha kweli unawakubalimm navutiwa na English ya watu watatu sina haja ya kuwataja mnajijua, sitoweza kuwataja kwa majina coz hapa jf msongamano mwingi.
kuna mwingine rafiki yangu unachangia vizuri nskukubari sana bila shska unajijua.
mwisho kuna watu waki comment natamani niwaone hata body lao ila ndo hivyo ustaarabu unatumika ,
bila kukusahau wewe uliyeko nje na siwezi kukutaja ila ukipita hapa jua ni wewe.
Umenifanya nichekeNamba sita ni mchanganyiko mkuu,yupo pande zote,dada VALENTINA humwambii kitu hapo.
Sema kweliMimi mtu akinitaja nampa hela!! [emoji1] .....Changamkieni hii fursa please!![emoji1]
Uchokozi huoSikujua Elizabeth Boniface aka Lizaboni nae ni mwanaume pia.
Naona umejileta mwenyewe![emoji1]Sema kweli
Ndo uniambie sasa kama ni kweliNaona umejileta mwenyewe![emoji1]