Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Hata mmoja kufanya amekosea. Naona wote mmenipita kama mwendo kasi. Msifanye hivyo jamani mmoja anitie moyo kuwa nami napendwa angalau.
 
Aaaaaaaaaarrrrrggg

Huku Hakuniusu

Waiter zungusha tena[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
mm navutiwa na English ya watu watatu sina haja ya kuwataja mnajijua, sitoweza kuwataja kwa majina coz hapa jf msongamano mwingi.

kuna mwingine rafiki yangu unachangia vizuri nskukubari sana bila shska unajijua.

mwisho kuna watu waki comment natamani niwaone hata body lao ila ndo hivyo ustaarabu unatumika ,

bila kukusahau wewe uliyeko nje na siwezi kukutaja ila ukipita hapa jua ni wewe.
Hebu wataje bwana kudhihirisha kweli unawakubali
 
Back
Top Bottom