nigga357
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 325
- 238
Yaani watu jinsi mnavyofurahisha humu,sipati picha nikiwaona laivumsaga sumu na warumi ni ndugu? wambea balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu jinsi mnavyofurahisha humu,sipati picha nikiwaona laivumsaga sumu na warumi ni ndugu? wambea balaa
Nmekupa big up sanahSina
Mjomba bahresa yupo bize wiki hii na kazi labda nikupe namba yake ya wasapu[emoji3]Teh..
Mi naomba namba za cmu za anko wake,
Ha hakuna mkaka anaitwa yaani nikimpata hyo nitakuwa namuogesha kama mtoto sitomuumiza milele till death inaitwa
Nipe tu mkuu,nitakua namchekiMjomba bahresa yupo bize wiki hii na kazi labda nikupe namba yake ya wasapu[emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Nipe tu mkuu,nitakua namcheki
Ht wewe piaHata the boss
[emoji121]Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?
Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.
Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
atoto joanah Sweetiepie venossah irk Dinazarde miss_blossom LadyAJ Hivi nyote nyie hakuna anaenizimikia kweliiii???
Kabisa mkuuHt wewe pia