Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Duh!kwel nina gundu,yani wanawake wote hawa wa jf hakuna anaevutiwa na mimi kabisa?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji337]
 
Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?

Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.

Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
[emoji121]
WEKA PICHA MKUU!
 
namzimia Von mo post zake zimetulia sana...
 
STUNTER asee
Ila cha ajabu mahaba yalipungua baada ya kumtoa tyga katika avatar yake [emoji26][emoji26][emoji26]
 
Daaaah...kuna watu wananyota za chips hum, mbona mie warembo wa jf hawanioni, eti yanajiludia majina yale yale tu....mmmmmh... hatariii.
 
Back
Top Bottom