snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Tatizo sio miwaningoja ninunue tena miwani nyingine
Tatizo HUONI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sio miwaningoja ninunue tena miwani nyingine
Njema sana, umepotea kama Membe mkuu....
We ni mwanamke..??Wangu hakuna mpk sasa
Hiyo likizo yako kibokoLikizo
😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉Nanyie mna kiherehere wameulizwa wanawake mnakimbilia nyinyi mtavikwa madela
Sasa unataka chonganisha watu. Mie ngumi siwezi na wewe umetuunganisha hapa. Mhhh. Kunguru muoga mie.mie ni gambakuffu na exit😉
mie ni gambakuffu na exit😉
Bora umekuja mke wangu maana kuna watu hawajui vinavyoelea vimeundwa...
Hiyo likizo yako kiboko
Ungekubali uone ningekomaa na wewe nimetega camera zangu kila kona...
Hahahahahahaaaa shikamoo Sky Eclat douh nimekupenda bure [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ni hivyo basi nenda kampe number yangu ya simu mfanyakazi wenu Millard Ayo.
Madame B chura topeni ndio kwake tena anajibadilisha na kuwa kambale kabisaaa ateleze kama sio kuserereka.....Chura atafia topeni.
Au topeni hupataki?
Wa Pwani mnajulikana tuMadame B chura topeni ndio kwake tena anajibadilisha na kuwa kambale kabisaaa ateleze kama sio kuserereka.....