Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Kwahyo ukiambiwa mpee ndo unaenda kumpa sio!??

Ungekuwa umeanza kuomba ushawari wakati wakupokea hiyo misaada kweli.. ila unakula vyake we hutaki kuliwa asubutuuuu... We nenda kapime umri mbeleni huko ukute amekuziiiidii

Ukikamilisha uje utoe ushuhudaa hapa
 
Haya ndio maneno sio mtu unakula vya mwenzio alafu mbususu wamnyima. Roho ya kishetani hiyo
 
Hapa kuna kitu hakiwekwi vizuri. Ilkuwaje hukujua? Je uhusiano wenu ulianzaje hadi usijue? Je ulipojua ulichukua hatua gani kukwepa haya? Je inakuwaje unamuita mumeo wakati alikuwa mume wa mtu?
 
For me it's a no, bora hata tulingane au anizidi kidogo hata days, ila mdogo kwangu mmh aje aniite mama ake mdogo[emoji848]

The way utavyozid kukua ndo utaona ni namna gani umepoteza chance nyingi za kuenjoy kwa insecurities zako penzi halina umri wala nini, unapaswa kuzingatia mtu anavyokuja kama kakuonesha heshima, anahudumia, anajitambua then why ujiwekee mipaka ikiwa upo free na unahitaj mtu wakutak iyo chance([emoji16]wanawake akili zenu sijui hua zikoje)


binafsi nina ndugu wakike kaolewa marayapili na kijana ni around 40iv ila kwa yeye ni kijana, iyo ni baada ya muda sana kukaa kwenye ndoa na kizee kilichokua kinamatukio kila leo na amekaa nacho miaka mingi na shida kubwa ilikua ni ulevi na kupenda kuingulia vischana kinyume na maumbile alafu kikiugua maUTI ni kali mpaka wakizibue mirija naskia naye ndo anateseka nacho hospital na alikua hana kauli maana kilikua na mali so ndugu wa mwanaume waliona ni sawa mzee kuishi kwa kutimia fantasy zake kwakua anatumia pesa yake na anawajali, dada alionekana hana maana sana.

Ila nimegundua wanawake wengi wanaona kua hii ni issue ni hawa wa 30s ndo iyo shida yao kos wametokea kua na dispointments nyingi kwa vijana wenzao ila wakifika 48+ ndo huja kugundua ni wanahitaj nini kwa mwanaume na hupata upendo wa dhati kwa watu walio wazid umri chunguza. Mi mwenywe naona tunakoelekea na mkewangu atakuja kunichoka najiona kua bored sana miaka inayokuja, nachukia sana uzee.
 
Aise hatari yaani una mvuto eeh ebu mpe kijana mbususu hiyo cha muhimu sii anajua kukuhudumia
 
Wewe huyo sio muolewaji bwana kashaolewa na cpa yake🤣🤣🤣🤣
 
Haya ndio maneno sio mtu unakula vya mwenzio alafu mbususu wamnyima. Roho ya kishetani hiyo
Tena ni roho ya kishetani iletayo mauti,maana mwenye vyake akikasirika risasi Saba za kichwa au bisu la roho!wadada tuache kula vya watu tusiotaka kuwapa ushirikiano
 
Tena ni roho ya kishetani iletayo mauti,maana mwenye vyake akikasirika risasi Saba za kichwa au bisu la roho!wadada tuache kula vya watu tusiotaka kuwapa ushirikiano
Wee pamoja na kuninyima mbususu lakini nakuheshimu maana wala hukutaka kula vya kwangu.
Waeleze hao hiyo sio tabia nzuri ni kujifikiria wewe tuu, just pure selfishness. Ila atanasa tuu na atatendwa ashangae maane sienwanaume kutumia mamilion tukukule na kusepa sio shida
 
Aaah mi silagi pesa za mtu ambaye mbeleni nitamnyima,Mimi napiga mizinga mlengwa wangu🤣 🤣🤣🤣na balance mizani
 
Nyie nyie nyieeeeeeeeeeee...!!! kuna wamama ushauri humu wanatoa ushauri hatari..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…