Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Mapenzi upofu Dada,umri sio kigezo Ila mtatofautiana katika malengo.

Kwani wewe upo nafasi gani,maana yeye anahitaji sex hajasema swala la ndoa hapo,so jiongeze anahitaji kampani yako ya mda.

Ukae ukijua kuwa,just sex either for long time or Short time.
Usiwazie kuolewa nae labda badae akihitaji yeye.Anakudaidia,Basi nawe msaidie kiivo Yani.
 
Ni mimi tuu au hata wengine hicho kipande cha mapacha wa kiume wanafanana baba yao hamjakielewa? Back to the topic. Sitochangia chochote maana swali limeelekezwa kwa wanawake. Lakini mleta mada ungeusikiliza moyo wako.
Nimecheka hapo uliposema hutachangia chochote, lakini ukamalizia na aufuate moyo wake..!!
 
Japo nimeiishia kusoma kwenye "anafanya kazi ana gari..." ila unaonekana ushaliwa kimasihara hongera jimama jeupe wasalimie wakina kulwa
 
Aaah mi silagi pesa za mtu ambaye mbeleni nitamnyima,Mimi napiga mizinga mlengwa wangu🤣 🤣🤣🤣na balance mizani
Hapo safi kunywa amarula kwa hela yako huku ukijipiga kifuani kuwa wewe mwanamke kweli kweli
 
Mkuu huyu hajashawishika na kijana alivyo. Ni zile huduma alzopewa na ahadi y biashara mpya. Wajomba hawana pesa, huoni kuna mahala kaandika "kijana ana kazi, gari na mishe zake" maana yake anatoa taarifa kuwa huduma inapatikana
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo tuseme nikajitokeza mzee wa ovyo nisiye na hili wala lile kumbe nisingeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom