Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Story inafanana na yako tena mwenzio nilikuwa na upinzani hadi na wadada wa bongo movie wanamtaka kijana kachafuka fedha!

Mengine ambayo anayo nitaku pm hapa sichelewi kuharibu maana sijui kujibana nitapigwa ban bure [emoji1787]
Nipm dear tuongee
 
Hapa JF utapewa ushauri wa aina zote ila kumbuka Wewe ndo muamuzi mkuu.

Kama kweli umempenda jamaa na amekuahidi kukuoromote kibiashara we mkubalie tu ila usishike mimba Yake.

Si unasikiaga wakisema real love has nothing to do with age.Go on!!
 
Kukukubali tu inamaanisha anakupenda. Umri namba tu, furaha ndo muhimu. Makasiriko hayajengi, go for it mwaah
 
Ficha tu wasijue anakukula mengine jipeni raha.
Mwambie wenzako wakijua mimi na wewe basi.
 
ni sawa na kusema wazungu Wote wanaakili, na wachaga wote matajiri. Ukute huyo rafiki yako ndo anaishi maisha hayo anayoyasimulia
 
Mpe mzigo kijana aushughulikie, mbona Maria Carey alimkubalia Nick Canon kwa tofauti ya miaka 10 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Umri si tatizo kabisa Mimi ni kijana pia Nina miaka 30 nilikua na mahusiano na mtu ana miaka 62 mwanzoni nilikua naona noma ila nilivomzoea nilikua namkunja bibi yule hahahahaha yani Atari na alikuwa kiongozi anaheshimika sana ila hakuna aliyewai kuhisi, sasa we we ni mdada bado MPE jamaa nyama afurahie maisha isipokua jua jambo mnaenda kufanya zinaa na mungu hapendi tafakari hili
 
Duh una roho ngumu sana ww mzee duuh[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]unawezaje kuchapa kibibi asee,kwanza kina hata utelezi..... mamaerrr
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…