Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Mbna unawasemea wanawake mkuu, huu uzi upo maalum kwa ajili ya wanawake waseme wanachopenda kutoka kutoka kwetu
 
Wenye hela ni hao wa kuanzia 25% mpaka 40% ni ukweli mchungu!
Japo kuna watakaokuja kusema hubby wangu ni 10-12% !
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…