safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Amna mi sio ostadhi boss.Naam ama nimekosea
Ni mluga luga flani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna mi sio ostadhi boss.Naam ama nimekosea
Hao wanawake wanasisimkwa sana na zile nywelee zetu vifuani mwetu.
Sasa mwanaume unanyoa nywelee za kifuani ukikumbatiana na mkeo ngozi zinagandana na joto hili hata aibu huoni mzee baba?
Lazima nywele uziache ache zile zina umuhimu mkubwaaa zina nyeng'elesa(lugha ya kikusini hii)
Bila kusahau ndevu unazipitisha masikioni mgongoni kwa juu juu na sehemu mbali mbali.
Mwanaume nywelee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya dini unayo kwenye mada za wafia dini uko vizuri uchangiaji wako
Elimu dini unayo kwenye mada za wafia dini uko vizuri uchangiaji wako
Dah acha nifute mkuu.Mbna unawasemea wanawake mkuu, huu uzi upo maalum kwa ajili ya wanawake waseme wanachopenda kutoka kutoka kwetu
Dah nimeamini hamna mapenzi ya kweli hata tipwatipwa tetema we unabeba tu kisa pesa
Zote zipo ila nimesahu kuweka wallet tuSijaona inayonivutia hapo
Kwaiyo sisi tusio na manyoya hua mnatuchora tu [emoji848]Vifua vikavyu hivyo hata vinyweleo vya kuamsha amsha hakuna.
Okay kumbe bora tutafute pesa na ku maintain uwezo kuwakuna kwenye 6x6Uwezo mzuri kiuchumi na nguvu za kiume. ........huyu kwangu ndiye dume la mbegu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap ni kweli kabisa bonge nyanya wengi wanapigiwa wake zao maana ni wavivu kwenye 6x6Shape tutavumiliana ila usiwe bonge nyanya
Saf hio ndio shape ambayo imekaa ki romantic ee JoanahBora wa nne
Umejuaje mkuu ? napata tabu kujua umejuaje !!Kwa ninayoyajua acha niseme tu mkuu.
Kuna kupenda kuona.
Na kupenda kugusa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo mzuri kiuchumi na nguvu za kiume. ........huyu kwangu ndiye dume la mbegu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ehwaah, shape za vibopa hizo
Hawana mvuto unashindwa hata kujilazimishaYap ni kweli kabisa bonge nyanya wengi wanapigiwa wake zao maana ni wavivu kwenye 6x6
muhogo,nazi,karanga tende,asali
Nimejiongelea mimi wengine nao watakuja kuongea wanavutiwa na kitu gani?Kwaiyo sisi tusio na manyoya hua mnatuchora tu [emoji848]
muhogo,nazi,karanga tende,asali