Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Mbna unawasemea wanawake mkuu, huu uzi upo maalum kwa ajili ya wanawake waseme wanachopenda kutoka kutoka kwetu
Hao wanawake wanasisimkwa sana na zile nywelee zetu vifuani mwetu.

Sasa mwanaume unanyoa nywelee za kifuani ukikumbatiana na mkeo ngozi zinagandana na joto hili hata aibu huoni mzee baba?

Lazima nywele uziache ache zile zina umuhimu mkubwaaa zina nyeng'elesa(lugha ya kikusini hii)

Bila kusahau ndevu unazipitisha masikioni mgongoni kwa juu juu na sehemu mbali mbali.

Mwanaume nywelee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye hela ni hao wa kuanzia 25% mpaka 40% ni ukweli mchungu!
Japo kuna watakaokuja kusema hubby wangu ni 10-12% !
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom