... wanawake wa R-Chuga wana sauti zenye ubora wa hali ya juu acha ukuda.Huo ndio ukweli najalibu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine ,ukweli sauti zao nzuri sana sana ,ila hapa Tz na East afrika nzima yaani kushuka south kwa Africa kuanzia jangwa la sahara,sijaona.
hapa Tz ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana sauti nzuri ya kuzungumza yaani hata mazungumzo ya kawaida tu hakuna uvutiaji na ndio ukaona hakuna muendelezo mnazungumza yanaisha.
Aloo kuna wanawake wana sauti nzuri utapenda uzungumze nao kutwa au hata kuwasikiliza basi unafuraha ya moyo.
hawa wetu unaweza hata ukafunga redio au Tv.
Nia yako ni diva na mange kimambi tu uwaseme hakuna lingineHuo ndio ukweli najalibu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine ,ukweli sauti zao nzuri sana sana ,ila hapa Tz na East afrika nzima yaani kushuka south kwa Africa kuanzia jangwa la sahara,sijaona.
hapa Tz ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana sauti nzuri ya kuzungumza yaani hata mazungumzo ya kawaida tu hakuna uvutiaji na ndio ukaona hakuna muendelezo mnazungumza yanaisha.
Aloo kuna wanawake wana sauti nzuri utapenda uzungumze nao kutwa au hata kuwasikiliza basi unafuraha ya moyo.
hawa wetu unaweza hata ukafunga redio au Tv.
Bora umetusemea 🤣🤣Sauti ya nini mkuu,kwani unatia kooni??
🤣🤣🤣🤣 kwendraaaaaa
Umefikiwa lakini kwa kuchelewa sana[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwendraaaaaa
Nimeanza kushinda beach ili sauti iwe nyororo 🤣🤣🤣Umefikiwa lakini kwa kuchelewa sana[emoji23][emoji23]
Hata ufanye nn, ishatoka hiyo[emoji23]Nimeanza kushinda beach ili sauti iwe nyororo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyu ana sauti kama ya burna boy🤣
[emoji23]huyu ana sauti kama ya burna boy[emoji1787]
Nimecheka mpk machozi 🤣🤣🤣Hata ufanye nn, ishatoka hiyo[emoji23]
Ndo inayo wapagawisha wewe na kaka ako hamuachi kunifatiliahuyu ana sauti kama ya burna boy🤣
Alafu ndio unazidi kupendwa[emoji23]Nimecheka mpk machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]