Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

They call me Burna,umesahau lips mbaya pia wanaoongoza wanazidiwa Hadi na mamen malipo stick yanawafanya wawe na lips mbaya na milips inakuwa mikubwa,
 
Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona.

Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana sauti nzuri ya kuzungumza, yaani hata mazungumzo ya kawaida tu hakuna uvutiaji na ndio ukaona hakuna muendelezo mnazungumza yanaisha.

Aloo kuna wanawake wana sauti nzuri utapenda uzungumze nao kutwa au hata kuwasikiliza basi unafuraha ya moyo.

Hawa wetu unaweza hata ukafunga redio au TV.

Nafikiri unazungumzia Lafudhi.

Kwa maana Lafudhi ndio huathiri uzuri wa Sauti.

Sio rahisi Kwa Mwanamke aliyeathiriwa na lugha za kikabila ukasikia anatoa Sauti tamu na nzuri
 
Back
Top Bottom