Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Aseeeh!
 

Attachments

  • 82072BD6-ECC6-4154-ACFA-C1B85D2ED3B0.jpeg
    82072BD6-ECC6-4154-ACFA-C1B85D2ED3B0.jpeg
    27.6 KB · Views: 1
Huo ndio ukweli najalibu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine ,ukweli sauti zao nzuri sana sana ,ila hapa Tz na East afrika nzima yaani kushuka south kwa Africa kuanzia jangwa la sahara,sijaona.
hapa Tz ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana sauti nzuri ya kuzungumza yaani hata mazungumzo ya kawaida tu hakuna uvutiaji na ndio ukaona hakuna muendelezo mnazungumza yanaisha.
Aloo kuna wanawake wana sauti nzuri utapenda uzungumze nao kutwa au hata kuwasikiliza basi unafuraha ya moyo.
hawa wetu unaweza hata ukafunga redio au Tv.
Kwel kabisa mkuu
Kuna mmoja wapo Hapa ni jirani yangu akiongea na simu yaan ni kelele kama vile kimbwa nikimskiaga tu naweka volume kubwa ya redio ili akaongelee huko mbali senge huyo
 
Huijui sema unamsikiliza Kantri anavyosema nina base [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me nina sauti traaamu ya kumtoa nyoka pangoni ohoo!
Usimsikilize kaka ako anakudanganya huyo
Hiyo traaamu umeandika kama wizo[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom