Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Basi me nyoka itabidi abaki hukohuko tu asitoke 😁😁
Asipotoka utaanza kulaumu tena, ooh huyu nyoka nimemfata hadi huku lakini kasinzia, kumbe shida ni sauti yako.
 
Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona.

Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana sauti nzuri ya kuzungumza, yaani hata mazungumzo ya kawaida tu hakuna uvutiaji na ndio ukaona hakuna muendelezo mnazungumza yanaisha.

Aloo kuna wanawake wana sauti nzuri utapenda uzungumze nao kutwa au hata kuwasikiliza basi unafuraha ya moyo.

Hawa wetu unaweza hata ukafunga redio au TV.
Sasa mijanajike unayokutana nayo ya bar tu, makoo yao yameshaunguzwa na pombe, hiyo sauti nzuri utaitolea wapi?

Unanshangaza!
 
Back
Top Bottom