Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Kwa sisi wachakataji mbususu ikiwa nzuri inatosha kwa huku kwetu mambo ya sauti waachie wahindi
 
Sasa mijanajike unayokutana nayo ya bar tu, makoo yao yameshaunguzwa na pombe, hiyo sauti nzuri utaitolea wapi?

Unanshangaza!
Upload voice note ya kwako basi wacha maneno mengi.
 
Ya kienyeji au ya kisasa? 🤣🤣🤣

Mwenzio nilikuwa naimba nyimbo ya Beyonce, Odo asinipopoe eti, “Wewe kwa hiyo sauti imba za kina Gigy tu!” Nilicheka mpk sio powa
😀😀😀Et za kina gigy
 
Nyoka zenyewe mpk za kuboost na vumbi hazisikii sauti 🤣🤣🤣
Basi tena, kama hadi mavumbi ndio aanze kung'ata basi tena..ndio maana nyoka wazee bado wana dili sana mjini🤣🤣🤣
 
Ya kienyeji au ya kisasa? 🤣🤣🤣

Mwenzio nilikuwa naimba nyimbo ya Beyonce, Odo asinipopoe eti, “Wewe kwa hiyo sauti imba za kina Gigy tu!” Nilicheka mpk sio powa
Usiombe uimbe nyimbo za kulalamika mfano la la lah😀😀unaweza ukajikimbia
Mimi huwa naimba nazirekodi nasikiliza mwenyew 😀 😀
 
Sasa mijanajike unayokutana nayo ya bar tu, makoo yao yameshaunguzwa na pombe, hiyo sauti nzuri utaitolea wapi?

Unanshangaza!
Bibi kwa kuwa wewe una sauti nzuri km ya Bi kiddie umeamua kutuchamba 🤣🤣🤣
 
Mie nitoe hapo kwenye list yako, Nina sauti nzuri huchoki kunisikiliza....nikisoma Qur'an sasa hadi Baba K ananitunza pesa🤣

Ila nikivurugwa nna sauti yangu flani hivi🤣🤣
😂😂😂Ukivurugwa sauti inabadilika
Mimi zamani nikiongea walikuwa wananiambia sauti km wema Yani saut nzuri ya kubembeleza ,ukali wa maisha saut imekuwa ya kingwendu usiombe unikute kazini nimevurugwa 😂😂😂
 
Usiombe uimbe nyimbo za kulalamika mfano la la lah😀😀unaweza ukajikimbia
Mimi huwa naimba nazirekodi nasikiliza mwenyew 😀 😀
Acha kabisaaaa🤣🤣🤣
Unavyoimba unajiona Bey huyu hapa, subiri uisikilize sasa utasema mlevi anamuita mhudumu aongoze mzinga mwingine wa Zappa 🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂
 
Mie nitoe hapo kwenye list yako, Nina sauti nzuri huchoki kunisikiliza....nikisoma Qur'an sasa hadi Baba K ananitunza pesa🤣

Ila nikivurugwa nna sauti yangu flani hivi🤣🤣
Mama K ebu jirecord nihakikishe kwanza 🤣🤣🤣
Mbona nahisi na wewe una base shogare
 
Back
Top Bottom