Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Huo ndio ukweli najaribu kusikiliza sauti za wanawake wa nchi zingine, ukweli sauti zao nzuri sana sana, ila hapa Tanzania na East afrika nzima yaani kushuka South kwa Africa kuanzia jangwa la sahara, sijaona.

Hapa Tanzania ndio usiseme zaidi kubana pua tu na kujifanyisha ila kwa ukweli hawana sauti nzuri ya kuzungumza, yaani hata mazungumzo ya kawaida tu hakuna uvutiaji na ndio ukaona hakuna muendelezo mnazungumza yanaisha.

Aloo kuna wanawake wana sauti nzuri utapenda uzungumze nao kutwa au hata kuwasikiliza basi unafuraha ya moyo.

Hawa wetu unaweza hata ukafunga redio au TV.
We umekaa na wazaramo sauti yakumtoa nyoka pangoni utaipatia wapi ....... njoo chuga wenzako kaskazini wenzako tunafaidi
 
😂😂😂Ukivurugwa sauti inabadilika
Mimi zamani nikiongea walikuwa wananiambia sauti km wema Yani saut nzuri ya kubembeleza ,ukali wa maisha saut imekuwa ya kingwendu usiombe unikute kazini nimevurugwa 😂😂😂
🤣🤣🤣 Ushawahi kumpa Konda elfu 10, chenji hajarudisha halafu anakudai tena? Kuna sauti flani hivi ya kupambania chenji akukumbuke🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom