Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Wanawake wetu Tanzania hawana sauti nzuri

Ya kienyeji au ya kisasa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwenzio nilikuwa naimba nyimbo ya Beyonce, Odo asinipopoe eti, “Wewe kwa hiyo sauti imba za kina Gigy tu!” Nilicheka mpk sio powa
Mimi Mars ana sauti nzito kama yako, mbona anaimba fresh tu tena live huwezi jua kabisa
 
Acha kabisaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unavyoimba unajiona Bey huyu hapa, subiri uisikilize sasa utasema mlevi anamuita mhudumu aongoze mzinga mwingine wa Zappa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi zappa unaijua[emoji23][emoji23][emoji23], umetisha sana.

Nna ciroc leo
 
Tatu Karema, Saumu Njama, Zainab Aziz na Amina Aboubakar wana mvuto wa kipekee pindi ninaowasikiliza kule Dw_Swahili... Hawa wa kwetu kina Bhoke ni balaa tupu.
 
Yani unadai chenji ya afkumi halafu uongee Kama Wema Sepetu?🤣🤣🤣 Makonda wenyewe wa Buza? Lazima utoe sauti flani hivi ya kimtoto wa Mbwa🤣🤣🤣
Huku umechomekea dela vizuri liwalo na liwe, seat yenyewe kuipata umepitia dirishani 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom