Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Iache kama ilivyo kuna sehemu huwa.inasaidia[emoji23]Ko unanishauri vipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niache na sauti yangu ya kuitia watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iache kama ilivyo kuna sehemu huwa.inasaidia[emoji23]Ko unanishauri vipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niache na sauti yangu ya kuitia watoto
Nitaanza kujifunza matusi ya huko. Wanasema ukitaka kujua lugha kirahisi jifunze matusi[emoji23]Kweli sijui kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara moja moja bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie si walevi wa taifa
Huogopi siku kichaa kikimuanza katikati ya shughuli ukute kakunyofoa kissme? 🤣🤣🤣Sielewi nichukue maamuzi magumu au nibaki tulee wajukuu😁😁
Weka link niisikilize.
Hata huyo Mbosso simfahamu.
Mie nambie old is gold:
View: https://youtu.be/QLZgtOtKplA?si=X4Zx9_IJ2rW3zEUl
Itakua ni yeye asee, maana muda wote ana vibe tu[emoji23][emoji23]Mama K Odo mtupu [emoji1787][emoji1787]
Wewe hata ukila tu msosi kawaida, pembeni lazima kuwe na ka wineNakunywa maji ss hivi [emoji1787][emoji1787]
Wewe kaza tu, pa kulegeza unapajua vizuri sana[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka Mkubwa eti hawa wanataka nikulegezee sauti Kaka ake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapi? 🤣🤣🤣Iache kama ilivyo kuna sehemu huwa.inasaidia[emoji23]
Kissme😂😂, upo dunia ya peke yako asee😂Huogopi siku kichaa kikimuanza katikati ya shughuli ukute kakunyofoa kissme? 🤣🤣🤣
Baba K kasafiri akirudi nakagua miguu, siwezi kuishi Kwa wasiwasi Mimi🤣🤣🤣🤣
Eti nikuamkie "Shkamoo Kaka"sauti ya puani🤣 Unaweza kutafuta Kamba unifunge, ujue kipa katoka🤣🤣Wewe kaza tu, pa kulegeza unapajua vizuri sana[emoji23]
Ole wako 🤣🤣🤣Nitaanza kujifunza matusi ya huko. Wanasema ukitaka kujua lugha kirahisi jifunze matusi[emoji23]
Usimshtue atakuchamba 🤣🤣🤣Itakua ni yeye asee, maana muda wote ana vibe tu[emoji23][emoji23]
Nimeacha ss hivi 🤣🤣🤣Wewe hata ukila tu msosi kawaida, pembeni lazima kuwe na ka wine
Nalog out🤣🤣🤣🤣Kissme😂😂, upo dunia ya peke yako asee😂
Jamani sio Mimi🤣🤣Usimshtue atakuchamba 🤣🤣🤣
Wapi? 🤣🤣🤣
Ikichomoka alafu kurudishia inachukuaa muda😂Wapi? 🤣🤣🤣
Ukiwa hujaridhika na speed😂Wapi? 🤣🤣🤣
Mule mule akifikia kwenye free P bas pigia mstari kaa kwa password 🤣🤣🤣Kissme😂😂, upo dunia ya peke yako asee😂
Kwa kuwa kwa sasa haoneshi dalili yoyote acha Nimpende jinsi alivyo uzuri na mimi nina uvungu kwa hiyo siku hiyo itakuwa mtafutano 😁😁😁Huogopi siku kichaa kikimuanza katikati ya shughuli ukute kakunyofoa kissme? 🤣🤣🤣
Baba K kasafiri akirudi nakagua miguu, siwezi kuishi Kwa wasiwasi Mimi🤣🤣🤣🤣