Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahid uwe na Sauti nzur[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwendraaaaaa
Halafu kote me naingia....Nina wasiwasi na jinsia yanguNext stop itakuwa tunavyotembea, watasema tunatembea Kama tunakimbia mabomu.
Njoo unisaidie kuilanisha mwenyewe nishashindwa 🤣🤣Jitahid uwe na Sauti nzur
Jaribu kumgugo...yaani yule ni twin wangu 🤣🤣🤣🤣Najma wa dadaz, hata simjui..ngoja nitaangalia hicho kipindi cha dadaz nimsikilize, huenda kwangu ikawa sauti bora kuliko zote🤣🤣🤣
Ndio hapo unakuta na undugu unakufa😂Eti nikuamkie "Shkamoo Kaka"sauti ya puani🤣 Unaweza kutafuta Kamba unifunge, ujue kipa katoka🤣🤣
Mam k ni mdogo wangu, hana noma😂Usimshtue atakuchamba 🤣🤣🤣
Zamani ndio alikua ananichamba sasa hivi kaacha, tulikaa tukaongea yakaisha😂Usimshtue atakuchamba 🤣🤣🤣
Fanya ulinganifu na yule mimi Mars tuone kama vinaendana, kabla sujaingia huko utube mkuu🤣Jaribu kumgugo...yaani yule ni twin wangu 🤣🤣🤣🤣
Enhee mule muleFanya ulinganifu na yule mimi Mars tuone kama vinaendana, kabla sujaingia huko utube mkuu🤣
Utalala saa ngapi wakati unakeshaga jf usiku wa manane😜Sawa bibi tumesikia, tutayafanyia kazi 😜
Nimemkumbuka tu baby wangu, yupo mbali. Huku ana ban Ila namuona ona kwa namna nyingine😂, msg anajibu baada ya nusu saa🙄Kweli una ciroc pembeni, Siri zinaanza kutoka 🤣🤣🤣
Mam k ni mdogo wangu, hana noma[emoji23]
Zamani ndio alikua ananichamba sasa hivi kaacha, tulikaa tukaongea yakaisha[emoji23]
😂😂 Si unajua navyotumia leo lakini. Haya🤣🤣🤣
Umenifananisha sio me!
Utalala saa ngapi wakati unakeshaga jf usiku wa manane[emoji12]
Fanya utaratibu tuonenane mkuu, hata virtual tu🤣🤣🤣🤣 hizo ndio sauti!!Enhee mule mule
Udugu hazina yetu wenyewe🤣🤣🤣 Siku hizi nimeacha bangi🤣Mam k ni mdogo wangu, hana noma😂
Zamani ndio alikua ananichamba sasa hivi kaacha, tulikaa tukaongea yakaisha😂
Nimemkumbuka tu baby wangu, yupo mbali. Huku ana ban Ila namuona ona kwa namna nyingine[emoji23], msg anajibu baada ya nusu saa[emoji849]
Tutatafutana asee. Na jf naikimbia mazima😂😂Ngoja aseme ni yeye, sijui sura utaificha wapi? 🤣🤣🤣