Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kejeli sio nzuriii kabisa haipendezi kabisaa 😁Japo uzuri hautegemei rangi, mleta mada kaleta uzi wa kuwakejeli wanawake weupe na sisi tunaenda nae kimlalomlalo
Kwenye watu weusi nakuhakikishia wewe hutotoka mbele unawajua wa sudani kusini 🏃🏃cheusi mangala tulikua tumetulia zetu hatuna hili wala lile dah😢😢🤣
WanubiKwenye watu weusi nakuhakikishia wewe hutotoka mbele unawajua wa sudani kusini 🏃🏃
acha tu🤣., bora wew unao weusi wa kung'aa ukipaka jumbo lakini😜💃Watu weusi tunaonewa sanaa😂
sameja wakitoka wasudan kusini anaefuata ni mimi walah😟Kwenye watu weusi nakuhakikishia wewe hutotoka mbele unawajua wa sudani kusini 🏃🏃
Labda huko kwa wasukumaYaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu.
Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa.
Eee..niongeze sauti au nipunguze 🤣🤣🤣.
Sina chuki nao lakini.mimi ni chocolate 🍫 girl 🥰
KakaUnawaonea wivu?
Wewe ni mweusi au mweupe?Hapana. Weusi wanajiheshimu sana
Sema nenoHapa weusi watajifanya weupe na weupe watajifanya weusi.
Walaji tunajua wa kumla.
Haaahaa 😂 😂sameja wakitoka wasudan kusini anaefuata ni mimi walah😟
Walaji hatuna baya, hata wangekuwepo wa blue sisi freshi tu.Hapa weusi watajifanya weupe na weupe watajifanya weusi.
Walaji tunajua wa kumla.
Kaka kaka , tule bia kwa wivu mkubwa, huyo kuna namna wadada weupe wanamtesa au wamemnyakulia dangaKaka
Haaahaa 😂Kaka kaka , tule bia kwa wivu mkubwa, huyo kuna namna wadada weupe wanamtesa au wamemnyakulia danga