05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
Salaam,
Kwanza MUNGU awabariki sana wanawake weusi.
Na pia kabla ya yote naomba niwajuze kuwa tumekubaliana Jumapili ijayo tunaenda kutoa sadaka kwajir yenu, ili MUNGU awatunze.
Binafsi hapo mwanzo nilijua kuwa ni utoto thats why niliwa adore sana sana sana.
Ila sasa utu uzima huu unakuja kasi ila bado nikimwona mtu wa rika yoyote ile mwenye jnsia ya KE ni mweusi nachangamka sana ROHO NA AKILI.. Kimsingi nakua nafeel kwamba nipo karib na kiumbe kizuri na kizarendo kwa vile kilivyoumbwa.
Enye wadada weusi,
Mnaleta raha kutazamwa,
mnaleta raha kuwa nanyi kwenye relationship, mnaleta raha kufanya kila jambo pamoja nanyi ...
hata kuhubiri
Manake mwanamke mweus anaposema anampenda MUNGU inaleta sense as hajaikataa rangi aloumbiwa mpaka kufikia akajikoboa na huku mafuta ya kujikobolea bei nzuri tyu.
Kupitia uzi huu Wanawake weusi wote nimewapa maua yenu kabla sijafa wala sijaacha kutumia JF ifahamike niliwapa maua yenu mungali hai mnaishi bado.