Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
shukrani sana mkuu..Kwasababu unawapendq wadada weusi. Basi na wewe unakuwa mzarendo .. Sasa kama kuna siku utakua free utatamani kuolewa naomba uni PM.
nimewahiwa tayari..!
shukrani sana mkuu..Kwasababu unawapendq wadada weusi. Basi na wewe unakuwa mzarendo .. Sasa kama kuna siku utakua free utatamani kuolewa naomba uni PM.
Wenye mawazo kama yako wengi 'wameliwa' na 'kulizwa' sana na huo muonekano wa weusi wa nje.Salaam,
Kwanza MUNGU awabariki sana wanawake weusi.
Na pia kabla ya yote naomba niwajuze kuwa tumekubaliana Jumapili ijayo tunaenda kutoa sadaka kwajir yenu, ili MUNGU awatunze.
Binafsi hapo mwanzo nilijua kuwa ni utoto thats why niliwa adore sana sana sana.
Ila sasa utu uzima huu unakuja kasi ila bado nikimwona mtu wa rika yoyote ile mwenye jnsia ya KE ni mweusi nachangamka sana ROHO NA AKILI.. Kimsingi nakua nafeel kwamba nipo karib na kiumbe kizuri na kizarendo kwa vile kilivyoumbwa.
Enye wadada weusi,
Mnaleta raha kutazamwa,
mnaleta raha kuwa nanyi kwenye relationship, mnaleta raha kufanya kila jambo pamoja nanyi ...
hata kuhubiri
Manake mwanamke mweus anaposema anampenda MUNGU inaleta sense as hajaikataa rangi aloumbiwa mpaka kufikia akajikoboa na huku mafuta ya kujikobolea bei nzuri tyu.
Kupitia uzi huu Wanawake weusi wote nimewapa maua yenu kabla sijafa wala sijaacha kutumia JF ifahamike niliwapa maua yenu mungali hai mnaishi bado.
Mi sipo kundi lolote Mkuu ila wamenipagawisha sanaWewe ni yupi kati yao mweusi au mweusi tii
Huyu dada kavuruga sana akili yanguHalafu ni watamuuu na wa moto balaa. Ile tu unaifunua mbususu nyekunduuu kabla hujazama chumvini dah. Halafu ukute ana ile natural kabisa na kiharufu chake original....unaweza kulia kwa utamu wallahi.
Hakuzingua aliyesema the darker the berry, the sweeter the juice 😘😘😘😘
View attachment 3415692
Hata usiwazingatie wifi yangu wamelewa kimpumu soon watajileta..!! 😹😹😹natural light skin tumetengwa leo..
enweiz, kuimba kupokezana..!!🥹
shukrani sana mkuu..
nimewahiwa tayari..!
Uuuuuweeeeeee .Halafu ni watamuuu na wa moto balaa. Ile tu unaifunua mbususu nyekunduuu kabla hujazama chumvini dah. Halafu ukute ana ile natural kabisa na kiharufu chake original....unaweza kulia kwa utamu wallahi.
Hakuzingua aliyesema the darker the berry, the sweeter the juice 😘😘😘😘
View attachment 3415692
hahahaHata usiwazingatie wifi yangu wamelewa kimpumu soon watajileta..!! 😹😹😹
ahsante kwa kunipamba hivi mkuu..Basi kwavile mimi na wewe ni washkaji huku jf, heb niazime buku,
Kisha hiyo buku nunulie huyo jama mirinda, m0e na mwambie sisi ( yani mimi na wewe) tunampongeza kwa kuwa na mke mzuri kama wewe mwenye haiba nzuri, imani, tabia na mwenendo mwema pia.
Wenye mawazo kama yako wengi 'wameliwa' na 'kulizwa' sana na huo muonekano wa weusi wa nje.
Malaya wanaenda na soko la wateja ujue!
Sasa hivi vijora havivaliwi, mkorogo haupakwi na nywele za gharama hazisukwi!
Wananyoa na kupaka lotion pamoja na mafuta ya Vaselline!
Mavazi ni magauni ya vitambaa au vitenge ili wewe uhadaike uone ni 'wautulie' katoka labda mikoani ndani ndani huko.
Ndiyo mahitaji ya soko la wateja lilivyo hivi sasa.
Unaposifia jambo usisifie hadi kukufuru, unatakiwa kuuma huku ukipulizia.
Maneno yao si mageni jijini..!! 😹hahaha
hapa ni nyumbani watarudi etieeh’..?
nimekumiss wifi yangu..
Wewe si mwanamke? Mwanamke mwenzio anavurugaje akili yako? Wewe ni memba wa chama cha akina Halima Mdee na Esther Bulaya? 😳Huyu dada kavuruga sana akili yangu
Kamvuruga tuu ki sistahood...😁😁Wewe si mwanamke? Mwanamke mwenzio anavurugaje akili yako? Wewe ni memba wa chama cha akina Halima Mdee na Esther Bulaya? 😳
Uko vizuri sana Madam wangu, tutaftane TU Kwa uzuriKamvuruga tuu ki sistahood...😁😁
AmenSure siku moja natamani tule wote bia , mwanamke mjasiri wa upinzani kama wewe😊
We unajua ni chizi😆🙌Huyu dada kavuruga sana akili yangu
Kwa kweli hiyo mi5 naistahili kabisa aisee sababu kwa hali ilivyo sasa Ke weusi tunahesabika. Kipenzi Changu.Majani ya kunde Shadeeya njoo uchukue mitano tena hapa