Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Kujichubua ni dhambi, Allah amekuumba mweusi halafu unajichubua, ili iweje?
Brother kwemaMimi napenda Sana wanawawake weusi na wale weusi tii
SPIKA: Mheshimiwa Mbunge, kuna taarifa!
MTOA TAARIFA (N'yadikwa): Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge, naomba kutoa taarifa.
SPIKA: Endelea kutoa taarifa yako.
MTOA TAARIFA(N'yadikwa): Mheshimiwa Spika, nataka kulipasha bunge hili wezeshi la jf kuwa nimefuatilia kwa makini hoja iliyotolewa na mwanabodi, ambapo amewasifu wanawake weusi kwa upekee wao, haiba yao ya asili na namna wanavyobeba thamani ya utu, urembo na ustahimilivu.
Mheshimiwa Spika, nataka kuliambia jukwaa hili kuwa kwa kauli hiyo ya mdau, mimi kama mzalendo N'yadikwa na mwana wa Afrika, siwezi kubaki kimya. Nikiwa na akili timamu namuunga mkono kwa dhati kabisa!
Mheshimiwa Spika, wanawake weusi si tu ni nguzo ya jamii zetu, bali pia ni nembo ya uzuri wa Kiafrika, ujasiri, na ustaarabu. Wamebeba majukumu ya familia, wamepigania uhuru wa asili yetu, si wanafiki wa kuiga yasiyo yao na wanaendelea kuonesha kuwa rangi nyeusi ni nzuri mnoo na inavutia.
Mheshimiwa Spika, kwa msingi huo, naomba kuhitimisha taarifa yangu kwa kusema: "Mwanamke mweusi ni fahari ya dunia, si kwa rangi tu bali kwa utu, hekima, na thamani ya kipekee aliyonayo."
SPIKA: Mtoa hoja unapokea taarifa?!
MLETA HOJA: Napenda kumuunga mkono ndugu yangu N'yadikwa kwa kukazia hoja na kujazia nyama. Asante sana
hiyo mpole nimecheka sana kuna tukio nimekumbuka..
nilikuwa najijua mimi ni mpole mpaka siku nipo na rafiki zangu mahali kuna kaka akataka kutuletea ukorofi niliruka kwenye kiti mpaka chini nikaenda kumrushia teke ambalo alikwepa na halikufika hata usawa wa tumbo..
ila akilini mwangu nilikuwa nawaza nimpige teke la kichwa kama kwenye movie..!🥹
Vincenzo Jr na dosho12 mtaniponza siku moja..
Kwema kabisa braza anguBrother kwema
Nipo poa kaka...Iko namna aisee...nshamshtukia....
Uko poa lakini mkuu?
Ila wewe. Daah! Hadi umefanya nacheka peke yangu hapa. lolPlease usijichubue wala kufikiria. You are black outside and red inside 😊
😀😀😀Hapo ulikuwa kama Eve Macarro wa kwenye Ballerina kama nililiona Hilo teke 😎hiyo mpole nimecheka sana kuna tukio nimekumbuka..
nilikuwa najijua mimi ni mpole mpaka siku nipo na rafiki zangu mahali kuna kaka akataka kutuletea ukorofi niliruka kwenye kiti mpaka chini nikaenda kumrushia teke ambalo alikwepa na halikufika hata usawa wa tumbo..
ila akilini mwangu nilikuwa nawaza nimpige teke la kichwa kama kwenye movie..!🥹
Vincenzo Jr na dosho12 mtaniponza siku moja..
Hiyo kaka inavyokutoka kwa haraka sasa dah! Najua wewe ni Mrs bana hivyo relax 😂😂😂Nipo poa kaka...
Yah inawezekana...
Unataka nikuite mkuu? Hata mchumba ni kaka...😊😊Hiyo kaka inavyokutoka kwa haraka sasa dah! Najua wewe ni Mrs bana hivyo relax 😂😂😂