Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Wewe ni yupi kati yao mweusi au mweusi tiiMimi napenda Sana wanawawake weusi na wale weusi tii
Wewe ni yupi kati yao mweusi au mweusi tiiMimi napenda Sana wanawawake weusi na wale weusi tii
Mimi sina neno mtoto mzuri 😜😜😜Wanaume weusi wa moto mkuu wana mishipa😋 ..hao weupe tunamwachia Aunt Ezekiel walamba lips😔
Kula bia mkuu life is too shortMimi sina neno mtoto mzuri 😜😜😜
Sure siku moja natamani tule wote bia , mwanamke mjasiri wa upinzani kama wewe😊Kula bia mkuu life is too short
Hahahaha kila siku ni nyie tu ebu pumzikeni kwanza😅natural light skin tumetengwa leo..
enweiz, kuimba kupokezana..!!🥹
Mimi huwa nikiona mtu aliye jichubuwa huwa najuwa moja kwa moja kuwa ni mgojwa wa akili . Pia nikiona mwanamke anaye van wig huwa najuwa hajiamini wala hajipendi.Salaam,
Mwanzo nilijua kuwa ni utoto thats why niliwa adore sana sana sana.
Ila sasa utu uzima huu unakuja kasi ila bado nikimwona mtu wa rika yoyote ile mwenye jnsia ya KE ni mweusi nachangamka sana ROHO NA AKILI.. Kimsingi nakua nafeel kwamba nipo karib na kiumbe kizuri na kizarendo kwa vile kilivyoumbwa.
Enye wadada weusi,
Mnaleta raha kutazamwa,
mnaleta raha kuwa nanyi kwenye relationship, mnaleta raha kufanya kila jambo pamoja nanyi ...
hata kuhubiri
Manake mwanamke mweus anaposema anampenda MUNGU inaleta sense as hajaikataa rangi aloumbiwa mpaka kufikia akajikoboa na huku mafuta ya kujikobolea bei nzuri tyu.
Kupitia uzi huu Wanawake weusi wote nimewapa maua yenu kabla sijafa wala sijaacha kutumia JF ifahamike niliwapa maua yenu mungali hai mnaishi bado.
sisi lini tena wakati kila siku tunaambiwa tunatumia maji mengi na ‘kitaulo/kipako’…Hahahaha kila siku ni nyie tu ebu pumzikeni kwanza😅
Hahahaha wakitaulo unajua tu weupe wake , mimi weupe nawaona dada zangu sijui kwa nini😂sisi lini tena wakati kila siku tunaambiwa tunatumia maji mengi na ‘kitaulo/kipako’…
hawakuvutii kabisa..?Hahahaha wakitaulo unajua tu weupe wake , mimi weupe nawaona dada zangu sijui kwa nini😂
haha..Dear heb kwanza bas, subiri tuongee na Hawa Malaika kwennu warembo titarudi jamaniiiii.
yes..Mimi nina dada zangu inasemekana ni pisi 🤣😅, nyingine mpaka zimeolewa South Africa na vigogo, ila kwangu mimi pisi naona ni Black beut 🤣
Wapo weupe wakali piayes..
mdada mweusi akiwa mrembo I can admit anakuwa mrembo haswa..!!🙌
tofauti na mweupe, nakubaliana na wewe..!
yes..
mdada mweusi akiwa mrembo I can admit anakuwa mrembo haswa..!!🙌
tofauti na mweupe, nakubaliana na wewe..!