Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Ngastukaaaa..😁😁😁Uko vizuri sana Madam wangu, tutaftane TU Kwa uzuri
Ngastukaaaa..😁😁😁Uko vizuri sana Madam wangu, tutaftane TU Kwa uzuri
Waletee.Sawa. Ila waleteeeee, Waleteeeee,
Waleteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Nasemajeeeeee. ?????
Please usijichubue wala kufikiria. You are black outside and red inside 😊Kwa kweli hiyo mi5 naistahili kabisa aisee sababu kwa hali ilivyo sasa Ke weusi tunahesabika. Kipenzi Changu.
---Manake mwanamke mweus anaposema anampenda MUNGU inaleta sense as hajaikataa rangi aloumbiwa mpaka kufikia akajikoboa na huku mafuta ya kujikobolea bei nzuri tyu.
Iko namna aisee...nshamshtukia....Kamvuruga tuu ki sistahood...😁😁
Wacha makasirikoWenye mawazo kama yako wengi 'wameliwa' na 'kulizwa' sana na huo muonekano wa weusi wa nje.
Malaya wanaenda na soko la wateja ujue!
Sasa hivi vijora havivaliwi, mkorogo haupakwi na nywele za gharama hazisukwi!
Wananyoa na kupaka lotion pamoja na mafuta ya Vaselline!
Mavazi ni magauni ya vitambaa au vitenge ili wewe uhadaike uone ni 'wautulie' katoka labda mikoani ndani ndani huko.
Ndiyo mahitaji ya soko la wateja lilivyo hivi sasa.
Unaposifia jambo usisifie hadi kukufuru, unatakiwa kuuma huku ukipulizia.
hiyo mpole nimecheka sana kuna tukio nimekumbuka..Maneno yao si mageni jijini..!! 😹
Nimekumiss pia wifi yangu mzuri na mpole.. 🥰
😅😅 Punguza kuangalia movie za ngumi na vita ndugu yangu. Sasa hyo siku si walikucheka mno 🤣🤣hiyo mpole nimecheka sana kuna tukio nimekumbuka..
nilikuwa najijua mimi ni mpole mpaka siku nipo na rafiki zangu mahali kuna kaka akataka kutuletea ukorofi niliruka kwenye kiti mpaka chini nikaenda kumrushia teke ambalo alikwepa na halikufika hata usawa wa tumbo..
ila akilini mwangu nilikuwa nawaza nimpige teke la kichwa kama kwenye movie..!🥹
Vincenzo Jr na dosho12 mtaniponza siku moja..
Wifi ulijikuta jet li 😹😹hiyo mpole nimecheka sana kuna tukio nimekumbuka..
nilikuwa najijua mimi ni mpole mpaka siku nipo na rafiki zangu mahali kuna kaka akataka kutuletea ukorofi niliruka kwenye kiti mpaka chini nikaenda kumrushia teke ambalo alikwepa na halikufika hata usawa wa tumbo..
ila akilini mwangu nilikuwa nawaza nimpige teke la kichwa kama kwenye movie..!🥹
Vincenzo Jr na dosho12 mtaniponza siku moja..
😂😂😂😅😅 Punguza kuangalia movie za ngumi na vita ndugu yangu. Sasa hyo siku si walikucheka mno 🤣🤣
Karusha teke la kichwa likaishia kwenye magoti, dah natamani ningeliona hilo tukio 😂😂Wifi ulijikuta jet li 😹😹
😂😂Wifi ulijikuta jet li 😹😹
Unajua kutangaza matangazo wwSalaam,
Kwanza MUNGU awabariki sana wanawake weusi.
Na pia kabla ya yote naomba niwajuze kuwa tumekubaliana Jumapili ijayo tunaenda kutoa sadaka kwajir yenu, ili MUNGU awatunze.
Binafsi hapo mwanzo nilijua kuwa ni utoto thats why niliwa adore sana sana sana.
Ila sasa utu uzima huu unakuja kasi ila bado nikimwona mtu wa rika yoyote ile mwenye jnsia ya KE ni mweusi nachangamka sana ROHO NA AKILI.. Kimsingi nakua nafeel kwamba nipo karib na kiumbe kizuri na kizarendo kwa vile kilivyoumbwa.
Enye wadada weusi,
Mnaleta raha kutazamwa,
mnaleta raha kuwa nanyi kwenye relationship, mnaleta raha kufanya kila jambo pamoja nanyi ...
hata kuhubiri
Manake mwanamke mweus anaposema anampenda MUNGU inaleta sense as hajaikataa rangi aloumbiwa mpaka kufikia akajikoboa na huku mafuta ya kujikobolea bei nzuri tyu.
Kupitia uzi huu Wanawake weusi wote nimewapa maua yenu kabla sijafa wala sijaacha kutumia JF ifahamike niliwapa maua yenu mungali hai mnaishi bado.
Wanaojikoboa ndo wameharibu kiasi kwamba kila mweupe anaonekana kama amejikoboa!natural light skin tumetengwa leo..
enweiz, kuimba kupokezana..!!🥹
hakika..!!🙌Wanaojikoboa ndo wameharibu kiasi kwamba kila mweupe anaonekana kama amejikoboa!