Wapokee kwa kweli!Salaam,
Mwanzo nilijua kuwa ni utoto thats why niliwa adre sana sana sana.
Ila sasa utu uzima huu unakuja kasi ila bado nikimwona mtu wa umri yoyote ile mwenye jnsia ya KE ni mweusi nachangamka sana ROHO NA AKILI kwamba nipo karib na kiumbe kizuri na kizarendo kwa vile kilivyoumbwa.
Mnaleta raha kutazamwa, mnaleta raha kuwa nanyi kwenye relationship, mnaleta raha kufanya kila jambo pamoja nanyi ...
hata kuhubiri
Manake mwanamke mweus anaposema anampenda MUNGU inaleta sense as hajaikaraa rangi aloumbiwa akajikoboa.
Kupitia uzi huu Wanawake weusi wote nimewapa maua yenu kabla sijafa wala sijaacha kutumia JF.
Kesho si alhamis...Uuuuweeee
Sure sema now mnajifanya kusifia mwanaume weusi ila kuzaa mnakimbilia kwa vyeupe dawa🤣Tumepokea maua yenu
Ila fanya bidii ujue kuandika vizuri.Salaam,
Mwanzo nilijua kuwa ni utoto thats why niliwa adore sana sana sana.
Ila sasa utu uzima huu unakuja kasi ila bado nikimwona mtu wa rika yoyote ile mwenye jnsia ya KE ni mweusi nachangamka sana ROHO NA AKILI.. Kimsingi nakua nafeel kwamba nipo karib na kiumbe kizuri na kizarendo kwa vile kilivyoumbwa.
Enye wadada weusi,
Mnaleta raha kutazamwa,
mnaleta raha kuwa nanyi kwenye relationship, mnaleta raha kufanya kila jambo pamoja nanyi ...
hata kuhubiri
Manake mwanamke mweus anaposema anampenda MUNGU inaleta sense as hajaikataa rangi aloumbiwa mpaka kufikia akajikoboa na huku mafuta ya kujikobolea bei nzuri tyu.
Kupitia uzi huu Wanawake weusi wote nimewapa maua yenu kabla sijafa wala sijaacha kutumia JF ifahamike niliwapa maua yenu mungali hai mnaishi bado.
Wanaume weusi wa moto mkuu wana mishipa😋 ..hao weupe tunamwachia Aunt Ezekiel walamba lips😔Sure sema now mnajifanya kusifia mwanaume weusi ila kuzaa mnakimbilia kwa vyeupe dawa🤣
Nakazia ✍️Wanawake weusi wote nimewapa maua
Mkuu umenigusa kabisa kwenye hili jumapili ijayo naenda kutoa sadaka Kwakweli.
Wanawake weusi hata awe na mwonekano mbaya usoni Ile kule white house Kuna mnayo na joto la kipekee sana.
Wanawake weusi 5 Tena ya bila kupingwa.
🙏🙏