Wanawake weusi tar 28 October tuna jambo letu

Naungana na JPM. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kama unatambua kuwa Magufuli, kama Rais, anapaswa kutenda na kusema yaliyo sahihi, iweje mropokaji wa tuhuma, uzushi, unafiki na majigambo ya dharau yasiyo na tija, apewe dhamana ya kuongoza taifa hili?
 
Kama unatambua kuwa Magufuli, kama Rais, anapaswa kutenda na kusema yaliyo sahihi, iweje mropokaji wa tuhuma, uzushi, unafiki na majigambo ya dharau yasiyo na tija, apewe dhamana ya kuongoza taifa hili?
Umeelewa nilichoandika hapo juu kweli?!Nimekuambia kwa sasa hivi Maguguli ni Rais wa nchi ambae anawakilisha Tanzania kimataifa kwa hiyo lolote analoongea linawakilisha nchi kwa hiyo hapaswi kuropoko hovyo hovyo.

Lissu yeye kwa sasa hivi siyo Rais wa nchi na pia hajawahi kuropoka hovyo kama unavyodai na pia hajawahi kubagua waafrika wenzake kutokana na rangi zao.
 
Kwa kuwa kiwango chako cha fikra unakifsiri kwa chuki ya kisiasa, kwa sababu unazozijua mwenyewe, sikutegemea jibu la hoja zangu tofauti.

Wataalamu wa sayansi ya jamii na wanasaikolojia wanajua athari na faida za utani. Kwa mila na desturi za kiafrika, hasa wabantu wa Tanzania, maneno na matendo ya utani hutumika sana kwenye majumuiko ya watu kufikisha ujumbe.

Hivyo basi hiyo misemo ya utani ndiyo itampa kura nyingi mgombea yeyote yule atakayeitumia kwa wakati na walengwa sahihi. Ila mgombea ambaye anatisha wapiga kura, anatumia lugha yenye maneno ya dharau, kudharilisha, majivuno, uwongo, uzushi, hakika atavuna anachopanda.
 
Mgombea mwenye akili timamu hutumia utani wenye vimelea vya kujenga nchi,vimelea vya kuunganisha watu,vimelea vya kujenga utaifa,vimelea vya kujenga uhuru wa watu na utani wenye vimelea vya kujenga haki na usawa miongoni mwa watu wake.Utani kama huu hujenga nchi.

Mgombea mbumbumbu na kichaa hutumia utani wenye vimelea vya kugawa watu,utani wenye vimelea vya kubagua watu wake,utani wenye vimelea vya kujenga chuki ndani ya nchi yake,utani wenye vimelea vya ukabila,udini na ukanda.Utani kama huu hubomoa nchi.

Magufuli ni mgombea mbumbumu na mwenye matatizo ya akili(psychiatric) kwa sababu anatumia utani wenye vimelea vya ubaguzi wa rangi,chuki,udini,ukabila na ukanda.Katika kampeni zake anatumia utani huu unaobomoa nchi badala ya kutumia utani unaojenga nchi.
 
Kama kawaida sikutegemea lugha ya kistaarabu kutoka kwako kuwakilisha hoja zenye uzito wa kifikra. Ni lugha hiyo inaziba nafasi finyu aliyo nayo huyo mgombea kupata ushindi.
 
Kama kawaida sikutegemea lugha ya kistaarabu kutoka kwako kuwakilisha hoja zenye uzito wa kifikra. Ni lugha hiyo inaziba nafasi finyu aliyo nayo huyo mgombea kupata ushindi.
Unaelewa tofauti kati ya fact na lugha isiyo ya kistaarabu?Kumwita mtu anaefanya mizaha na mambo ya ubaguzi wa rangi,ukabila,udini pamoja na ukanda kuwa ni mbumbumbu hiyo ni fact au ni lugha isiyo ya kistaarabu?Unataka mtu anaefanya mizahaa na mambo ya ubaguzi wa rangi,udini pamoja na ukabila nimwite kuwa ni mtu mzuri sana,mwenye akili na mstaarabu?

Lugha isiyo ya kistaarabu ni kumwita mtu ambae anafanya mizaha na mambo ya ubaguzi wa rangi,udini pamoja na ukabila kuwa ni mtu mwenye akili sana,mstaarabu na afaae kuwa kiongozi wa watu.Hiyo ndiyo lugha isiyo ya kistaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…