Wanawake weusi wana mvuto wa kipekee sana

🤣🤣🤣🤣🤣mimi mtu yoyote mweusi sipatani nae
 
Sema wengi hawajiamini na hawajikubali .

Na wazazi wetu ukitaka kuoa ukamtumia PICHA ya mwanamke mweusi anakuambia huyo HAPANA.

Hii imetokea katika familia nyingi.

Hivyo MTU akiona hawezi kushindana na soko kinachofatia ni kujichubua.
Mizazi ya hivyo ni mitakataka wala siyo ya kusikiliza! Mianamike white ni baridi kama umelala na nyoka! Baridi mpaka ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…