Wanawake weusi wana mvuto wa kipekee sana

Wanawake weusi wana mvuto wa kipekee sana

Amaa kweli uzuri wakitu upo machoni mwa mtazamaji mm weusi sina connection nao kabisaaaa yaani anaweza hawezi kunielewa mm wala mm kumuelewa yeye

Ila wanawake weupe kuna ile connection huwa inanitokeaa nikimuelewa kuna asilimia nyingi sanaaa za yeye kunipenda pia
🤣🤣🤣🤣🤣mimi mtu yoyote mweusi sipatani nae
 
Sema wengi hawajiamini na hawajikubali .

Na wazazi wetu ukitaka kuoa ukamtumia PICHA ya mwanamke mweusi anakuambia huyo HAPANA.

Hii imetokea katika familia nyingi.

Hivyo MTU akiona hawezi kushindana na soko kinachofatia ni kujichubua.
Mizazi ya hivyo ni mitakataka wala siyo ya kusikiliza! Mianamike white ni baridi kama umelala na nyoka! Baridi mpaka ndani!
 
Back
Top Bottom