Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
house girl anashinda na mtoto kuanzia asubuhi mpaka saa nne usiku mama ake anaporudi kazini,inafika point housegirl anamjua mtoto kuliko hata wazazi, ukweli unabaki housegirls ndiyo walezi wa watoto katika familia nyingiWanalelewa chini ya uangalizi wa mama zao,
Siyo housegirl umpe nafasi ya umama.
Ni jambo gumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili lipo kweliWanaume tuna roho nzuri ya kiMungu.
Hii ya mateso ipo pia kwa mashangazi utadhani siyo ndg na mdingi.
Uchonganishi kwa baba akija utasikia siku hizi jeuri huyu! Kipigo! Chawa.ukurutu.
HahahahaUkishakuwa huna pesa vitu vingi vinakuyumbisha, hata mbwa wako anaweza kukuzuia usitoke ndani
wanawake oyeeeeeMimi nitalea mtoto ambaye ni mkubwa kwenye mahusiano yangu na babaake......yaani ambaye alizaliwa kabla sijakutana na babaake!
Ila wa kuniletea niko ndani simtaki na nitamtesa hadi mamaake mshono uachie
Sent using Jamii Forums mobile app
Boarding likizo atakua anaenda kwa mjomba au kwa bibi kipindi chote hicho mkuu?Muhimu ni kumpeleka boarding school tu kuanzia primary hadi secondary akirudi ukubwani atakua askari tosha kupambana na mzunguko wa maisha
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
ulifikia maamuzi gani comrade?Mnanipa wakati mgumu kuhusu hawa watoto,
Nina mtoto nje sasa sijui lipi na lipi nifanye nimebaki tu kumtafutia dada wa kumsaidia mama yake akiwa kazini ila sitaki akakae kwa bibi yake upande wa ex maana na yeye hataki nimchukue wala akakae kwa Mama yangu..... So ngoma droo sijui? [emoji437][emoji290]
Sent using Jamii Forums mobile app
sureAmbao hawajapitia mikononi mwa mama wa kambo hawawezi kuelewa unachoongea.
Sent using Jamii Forums mobile app