Usaidizi wenyewe ndio huo sasa alishe watoto,ila asimlishe BABA,watoto ni TUNU jamani hawatakiwi kuteswa kwa namna yeyote,hawatakiwi hata kujua kuwa wewe si mama ake,mpende jitoe,tembea hata peku kwa ajili ya mtoto.
ila usijitese kwa ajili ya mumeo ambae ni mzigo,huyo mwanamume mkimaliza kula osheni vyombo akirud akute hotput nyeupe,yani ukatli wote mfanyie huyo mwanamume ila si watoto wake.
Kutesa watoto kunaonyesha ni jinsi gani hauja qualify kuwa MAMA neno MAMA ni pana sana ukiona MAMA ujue n mzazi aasie tayari hata kuona mtoto waa jirani analia,achilia mbali kula.
MAMA wa kweli akiskia tu hata sauti ya mtoto nyumba ya jirani analia kila siku MAMA ataenda kuuliza whats wrong,ila huyo ni MAMA na s mwanamke.
wanawake wengi wa sasa si kina MAMA ila wamebaki na sifa ya kuwa MWANAMKE,sikubaliani na huyo mama kuumia kisa eti watoto wa mume wake wanakula anachotafuta,Huyo sio mama huyo ni Mwanamke.
Achana na mtoto wa mume wake,huyo mwanamke anaweza toa pesa yake akamnunulia chakula au nguo mtoto wa jirani wa mwanamke mwenzie baki? HAWEZI nakuhakikishia.