Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tell him oooh. Kila mtu anajua kuwa mtoto wako ni wa muhimu zaidi kwako; but you dont have to rub it in your partner's face. No matter mtu anakupenda kiasi gani; si rahisi afurahie yeye kuwa 2nd option baada ya mtoto wako; kwa wengine ndo wanajenga chuki kwa mtoto; mwanao ataisoma nambaMzee ukija kutoa hio sentensi mtoto wako atateseka dunia nzima
Kwa nini ungemuacha? Anaonekana ana roho mbaya?Kwa ninavyojifahamu huyo mwanamke ningemuacha hata kama sina mtoto...
Mimi pia ningefanya hivyo.Kwa ninavyojifahamu huyo mwanamke ningemuacha hata kama sina mtoto...
Huyo mwanamke sio tu anaonekana ana roho mbaya huyo mwanamke ana roho mbaya sana..kuna sentensi zingine mwanaume unapewa na mwanamke ni red flags...kwamba hapa hakuna mtu..maana kwenye maisha unaweza jikuta unahitaji kuwachukua watoto wa dada zako au ndugu zako na kuishi nao mtu kama huyo unadhani atawafanyaje hao watoto?Kwa nini ungemuacha? Anaonekana ana roho mbaya?
Mwanamke haitaji kuchimbwa beat vitu vingine ni kuonesha tu upendo kwa mwanao huyo mwanamke anakua anaona daah hawa (mtoto na baba yake) wanapendana sana ngoja nisiharibu mambo hapaTell him oooh. Kila mtu anajua kuwa mtoto wako ni wa muhimu zaidi kwako; but you dont have to rub it in your partner's face. No matter mtu anakupenda kiasi gani; si rahisi afurahie yeye kuwa 2nd option baada ya mtoto wako; kwa wengine ndo wanajenga chuki kwa mtoto; mwanao ataisoma namba
Nakuelewa sana tu; of course its a red flag. But again najitahidi kumuelewa pia; we never know kipi kilimkutaHuyo mwanamke sio tu anaonekana ana roho mbaya huyo mwanamke ana roho mbaya sana..kuna sentensi zingine mwanaume unapewa na mwanamke ni red flags...kwamba hapa hakuna mtu..maana kwenye maisha unaweza jikuta unahitaji kuwachukua watoto wa dada zako au ndugu zako na kuishi nao mtu kama huyo unadhani atawafanyaje hao watoto?
Kabisa. Au ndo wewe unakutana na single mom afu anakwambia "my kid comes first"; hivi kuna haja ya kulisema hilo?Mwanamke haitaji kuchimbwa beat vitu vingine ni kuonesha tu upendo kwa mwanao huyo mwanamke anakua anaona daah hawa (mtoto na baba yake) wanapendana sana ngoja nisiharibu mambo hapa
Namuonea huruma mtoto wa Huyo Baba maana yatakayokua yanatendeka nyuma ya pazia hayasemeki,Imagine mwanamke anasema etiYani leo leo nimekutana na hili jambo, dada mmoja akeniambia leo karena mdogo angu nna majanga pale nyumbani mume wangu ameleta mtoto nakipata cha moto mtoto hajui kufagia, hela nnayopata nalazimishwa kuitumia na kwa mtoto wa mume, tukipanga mipango na mume anamuingiza na mwanae kwenye pesa nnayotafuta kwa jasho langu, usinione nakonda aisee niko motoni, mwanzoni niliona kama ni rahisi kua kwenye haya mahusiano lakini siku zinavyozidi kwenda mmhhh naona maji ya shingo yananifika mwenzio nione nnavyokonda, yani wanapigiana simu na mama mtoto wake uuuhhhhhhhh nimenukuu CONTROLA
tukipanga mipango na mume anamuingiza na mwanae kwenye pesa nnayotafuta kwa jasho langu
CONTROLA
Tuwe tu wakweli jamani kulea mtoto wa mwenzako changamoto.Nalea mtoto wa mume wangu, ni mdogo kuliko mwanangu. Simtesi wala simnyanyasi ila namlea kwa uangalifu sana. Najua akilia kidogo tu watu watasema namtesa.
Hata wakikosea wote namchapa wangu tu kwa kisingizio kwamba yeye ni mkubwa. Wamepishana mwaka mmoja.
Huwa najisikia vibaya sababu najua siwapi malezi sawa ila naogopa kusemwa semwa kuwa namtesa.
Ila upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kuhamishiwa kwa mtoto mwingine. Hatakama simchukii lakini upendo wangu kwake ni wa kawaida tu.
Kusema kweli hamtesi na si kwamba ana roho mbaya na simtetei ukweli ni kwamba mchuma janga hula na wa kwao, CONTROLA baba hamtreat vizuri mama ni mbabe na mwenye amri mno kwa mke wake, kiasi kwamba ka kiasi kadogo anakokusanya kwenye tu biashara twake twa vitafunwa anataka agawe sawa kwa sawa mpaka kwa mtoto mwingine, hatukatai kuna mahitaji si mbaya kumnunulia jamani wakati mwingine anamlazimisha mdada wa watu kumlipia ada mtoto kwa tu hela twa vitafunwa vya kutembeza mtaani jamani hapana CONTROLA sikatai mtoto wa mwenzio ni wako lakini walau usimfanye mkeo kua mtumwaNamuonea huruma mtoto wa Huyo Baba maana yatakayokua yanatendeka nyuma ya pazia hayasemeki,Imagine mwanamke anasema eti
Jaribu tu fikiri mara mbili roho aliyo nayo huyo mwanamke Fikiria ndio pap yupo nyumbani yeye watoto wake na mtoto wa huyo baba ila MUME KASAFIRI vuta picha maisha atayoishi yule mtoto?
Wanawake mi sijui niseme nini juu yenu SIJUI sio wote ila "wengi wenu" ni moto wa kuotea mbali.
Mimi nikiwa baba nikikupenda wewe karena nikakuta una watoto wawili nikakwambia walete tuishi nao nyumbani,then katika kuishi kwetu pale nyumbani nikaja gundua unatabia za umalaya,ufuska wote,mvivu,nk nk Sawa nitakasirika sana na ikibidi kila siku ntakua nakuzibuaKusema kweli hamtesi na si kwamba ana roho mbaya na simtetei ukweli ni kwamba mchuma janga hula na wa kwao, CONTROLA baba hamtreat vizuri mama ni mbabe na mwenye amri mno kwa mke wake, kiasi kwamba ka kiasi kadogo anakokusanya kwenye tu biashara twake twa vitafunwa anataka agawe sawa kwa sawa mpaka kwa mtoto mwingine, hatukatai kuna mahitaji si mbaya kumnunulia jamani wakati mwingine anamlazimisha mdada wa watu kumlipia ada mtoto kwa tu hela twa vitafunwa vya kutembeza mtaani jamani hapana CONTROLA sikatai mtoto wa mwenzio ni wako lakini walau usimfanye mkeo kua mtumwa
CONTROLA sipingani na wewe ila kumbuka Adam ndie eliepewa jukumu la kuilinda na kuitunza bustani mwanamke ni.msaidizi.Mimi nikiwa baba nikikupenda wewe karena nikakuta una watoto wawili nikakwambia walete tuishi nao nyumbani,then katika kuishi kwetu pale nyumbani nikaja gundua unatabia za umalaya,ufuska wote,mvivu,nk nk Sawa nitakasirika sana na ikibidi kila siku ntakua nakuzibua
ila hata siku 1 haitatokea mimi CONTROLA nikanung'unika kuwahudumia wanao,hamna hata siku moja ntakasrika kuleta nguo za wanangu na wanao halafu wewe hufanyi kazi,au nikute nguo za wanangu umewavalisha wanao hata siku 1 sitokasirika.
Ugomvi wangu na wewe upo pale pale ntakuzabua mpk nikutoe maturu ila nikimaliza kukuzabua wakati nmekuacha unalia unachuruzika makamasi,Nitawachukua wanangu (wanao na wangu) ntaenda nao sebleni kucheza nao GAME.
Yani ni kwamba ugomvi wangu na wewe hauwezi nifanya kwa namna yeyote yale nikawaadhibu watoto wako,huyo mwanamke mjinga unaemtetea ni kivuruge nambari one hata kama mume wake hafanyi kazi mlevi anamzabua kila siku,Jukumu la kulea watoto ni la BABA na MAMA kama baba kashndwa mama asimame kidete.
Huyo mwanamke hajashndwa wahudumia hao watoto ila tu ni anakaroho ka sumu ka kuchukia watoto wa mume wake,yani ugomvi wake na mumewe anauleta hadi kwa watoto "yanini"
Siafikiani nae hata iweje aseeee Umeshasema hao n mke na mume afadhali hata ungesema n wapenz wa kawaida tu.
Usaidizi wenyewe ndio huo sasa alishe watoto,ila asimlishe BABA,watoto ni TUNU jamani hawatakiwi kuteswa kwa namna yeyote,hawatakiwi hata kujua kuwa wewe si mama ake,mpende jitoe,tembea hata peku kwa ajili ya mtoto.CONTROLA sipingani na wewe ila kumbuka Adam ndie eliepewa jukumu la kuilinda na kuitunza bustani mwanamke ni.msaidizi.