Wanawake wote ndivyo mlivyo hata mkikataa. Wanaume kuweni makini katika maamuzi yenu

Mzee ukija kutoa hio sentensi mtoto wako atateseka dunia nzima
Tell him oooh. Kila mtu anajua kuwa mtoto wako ni wa muhimu zaidi kwako; but you dont have to rub it in your partner's face. No matter mtu anakupenda kiasi gani; si rahisi afurahie yeye kuwa 2nd option baada ya mtoto wako; kwa wengine ndo wanajenga chuki kwa mtoto; mwanao ataisoma namba
 
Kwa nini ungemuacha? Anaonekana ana roho mbaya?
Huyo mwanamke sio tu anaonekana ana roho mbaya huyo mwanamke ana roho mbaya sana..kuna sentensi zingine mwanaume unapewa na mwanamke ni red flags...kwamba hapa hakuna mtu..maana kwenye maisha unaweza jikuta unahitaji kuwachukua watoto wa dada zako au ndugu zako na kuishi nao mtu kama huyo unadhani atawafanyaje hao watoto?
 
Tell him oooh. Kila mtu anajua kuwa mtoto wako ni wa muhimu zaidi kwako; but you dont have to rub it in your partner's face. No matter mtu anakupenda kiasi gani; si rahisi afurahie yeye kuwa 2nd option baada ya mtoto wako; kwa wengine ndo wanajenga chuki kwa mtoto; mwanao ataisoma namba
Mwanamke haitaji kuchimbwa beat vitu vingine ni kuonesha tu upendo kwa mwanao huyo mwanamke anakua anaona daah hawa (mtoto na baba yake) wanapendana sana ngoja nisiharibu mambo hapa
 
Huyo mwanamke sio tu anaonekana ana roho mbaya huyo mwanamke ana roho mbaya sana..kuna sentensi zingine mwanaume unapewa na mwanamke ni red flags...kwamba hapa hakuna mtu..maana kwenye maisha unaweza jikuta unahitaji kuwachukua watoto wa dada zako au ndugu zako na kuishi nao mtu kama huyo unadhani atawafanyaje hao watoto?
Nakuelewa sana tu; of course its a red flag. But again najitahidi kumuelewa pia; we never know kipi kilimkuta
 
Mwanamke haitaji kuchimbwa beat vitu vingine ni kuonesha tu upendo kwa mwanao huyo mwanamke anakua anaona daah hawa (mtoto na baba yake) wanapendana sana ngoja nisiharibu mambo hapa
Kabisa. Au ndo wewe unakutana na single mom afu anakwambia "my kid comes first"; hivi kuna haja ya kulisema hilo?
 
Yani leo leo nimekutana na hili jambo, dada mmoja akeniambia leo karena mdogo angu nna majanga pale nyumbani mume wangu ameleta mtoto nakipata cha moto mtoto hajui kufagia, hela nnayopata nalazimishwa kuitumia na kwa mtoto wa mume, tukipanga mipango na mume anamuingiza na mwanae kwenye pesa nnayotafuta kwa jasho langu, usinione nakonda aisee niko motoni, mwanzoni niliona kama ni rahisi kua kwenye haya mahusiano lakini siku zinavyozidi kwenda mmhhh naona maji ya shingo yananifika mwenzio nione nnavyokonda, yani wanapigiana simu na mama mtoto wake uuuhhhhhhhh nimenukuu CONTROLA
 
Namuonea huruma mtoto wa Huyo Baba maana yatakayokua yanatendeka nyuma ya pazia hayasemeki,Imagine mwanamke anasema eti
tukipanga mipango na mume anamuingiza na mwanae kwenye pesa nnayotafuta kwa jasho langu
CONTROLA

Jaribu tu fikiri mara mbili roho aliyo nayo huyo mwanamke Fikiria ndio pap yupo nyumbani yeye watoto wake na mtoto wa huyo baba ila MUME KASAFIRI vuta picha maisha atayoishi yule mtoto?

Wanawake mi sijui niseme nini juu yenu SIJUI sio wote ila "wengi wenu" ni moto wa kuotea mbali.
 
Nalea mtoto wa mume wangu, ni mdogo kuliko mwanangu. Simtesi wala simnyanyasi ila namlea kwa uangalifu sana. Najua akilia kidogo tu watu watasema namtesa.

Hata wakikosea wote namchapa wangu tu kwa kisingizio kwamba yeye ni mkubwa. Wamepishana mwaka mmoja.

Huwa najisikia vibaya sababu najua siwapi malezi sawa ila naogopa kusemwa semwa kuwa namtesa.
Ila upendo wa mama kwa mtoto wake hauwezi kuhamishiwa kwa mtoto mwingine. Hatakama simchukii lakini upendo wangu kwake ni wa kawaida tu.
Tuwe tu wakweli jamani kulea mtoto wa mwenzako changamoto.

Ni kweli si kwamba mtu unamchukia no ila upendo unakua wa kawaida jamani mama ni mama tu kwa kweli upendo wake haufananishwi na yeyote
 
Namuonea huruma mtoto wa Huyo Baba maana yatakayokua yanatendeka nyuma ya pazia hayasemeki,Imagine mwanamke anasema eti

Jaribu tu fikiri mara mbili roho aliyo nayo huyo mwanamke Fikiria ndio pap yupo nyumbani yeye watoto wake na mtoto wa huyo baba ila MUME KASAFIRI vuta picha maisha atayoishi yule mtoto?

Wanawake mi sijui niseme nini juu yenu SIJUI sio wote ila "wengi wenu" ni moto wa kuotea mbali.
Kusema kweli hamtesi na si kwamba ana roho mbaya na simtetei ukweli ni kwamba mchuma janga hula na wa kwao, CONTROLA baba hamtreat vizuri mama ni mbabe na mwenye amri mno kwa mke wake, kiasi kwamba ka kiasi kadogo anakokusanya kwenye tu biashara twake twa vitafunwa anataka agawe sawa kwa sawa mpaka kwa mtoto mwingine, hatukatai kuna mahitaji si mbaya kumnunulia jamani wakati mwingine anamlazimisha mdada wa watu kumlipia ada mtoto kwa tu hela twa vitafunwa vya kutembeza mtaani jamani hapana CONTROLA sikatai mtoto wa mwenzio ni wako lakini walau usimfanye mkeo kua mtumwa
 
Mimi nikiwa baba nikikupenda wewe karena nikakuta una watoto wawili nikakwambia walete tuishi nao nyumbani,then katika kuishi kwetu pale nyumbani nikaja gundua unatabia za umalaya,ufuska wote,mvivu,nk nk Sawa nitakasirika sana na ikibidi kila siku ntakua nakuzibua

ila hata siku 1 haitatokea mimi CONTROLA nikanung'unika kuwahudumia wanao,hamna hata siku moja ntakasrika kuleta nguo za wanangu na wanao halafu wewe hufanyi kazi,au nikute nguo za wanangu umewavalisha wanao hata siku 1 sitokasirika.

Ugomvi wangu na wewe upo pale pale ntakuzabua mpk nikutoe maturu ila nikimaliza kukuzabua wakati nmekuacha unalia unachuruzika makamasi,Nitawachukua wanangu (wanao na wangu) ntaenda nao sebleni kucheza nao GAME.

Yani ni kwamba ugomvi wangu na wewe hauwezi nifanya kwa namna yeyote yale nikawaadhibu watoto wako,huyo mwanamke mjinga unaemtetea ni kivuruge nambari one hata kama mume wake hafanyi kazi mlevi anamzabua kila siku,Jukumu la kulea watoto ni la BABA na MAMA kama baba kashndwa mama asimame kidete.

Huyo mwanamke hajashndwa wahudumia hao watoto ila tu ni anakaroho ka sumu ka kuchukia watoto wa mume wake,yani ugomvi wake na mumewe anauleta hadi kwa watoto "yanini"

Siafikiani nae hata iweje aseeee Umeshasema hao n mke na mume afadhali hata ungesema n wapenz wa kawaida tu.
 
Sijui kwa vile napenda watoto wengi zaidi ya uwezo wangu. Naweza kuwapenda sana watoto wa mume wangu nikawalea vyema tu kama mimi na yeye tunapendana na ni baba anayetekeleza majukumu yake tuko pamoja.
Ila asiwazae baada ya kuoana, kama mama zao sio wale walevi,malaya, vichaa kwakweli asinibebeshe majukumu mama zao wanapaka makeup huko walee. Kama ni wamama hawajielewi kwa maslahi ya watoto namsaidia tuwakuze vyema.

Watoto wa mume wako uliowakuta pambana wawe na maadili mema, wafanikiwe kimaisha maana wakiwa mizigo watamlemea baba yao ambaye ni mume wako. Stress za mume ni za kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikiwa baba nikikupenda wewe karena nikakuta una watoto wawili nikakwambia walete tuishi nao nyumbani,then katika kuishi kwetu pale nyumbani nikaja gundua unatabia za umalaya,ufuska wote,mvivu,nk nk Sawa nitakasirika sana na ikibidi kila siku ntakua nakuzibua

ila hata siku 1 haitatokea mimi CONTROLA nikanung'unika kuwahudumia wanao,hamna hata siku moja ntakasrika kuleta nguo za wanangu na wanao halafu wewe hufanyi kazi,au nikute nguo za wanangu umewavalisha wanao hata siku 1 sitokasirika.

Ugomvi wangu na wewe upo pale pale ntakuzabua mpk nikutoe maturu ila nikimaliza kukuzabua wakati nmekuacha unalia unachuruzika makamasi,Nitawachukua wanangu (wanao na wangu) ntaenda nao sebleni kucheza nao GAME.

Yani ni kwamba ugomvi wangu na wewe hauwezi nifanya kwa namna yeyote yale nikawaadhibu watoto wako,huyo mwanamke mjinga unaemtetea ni kivuruge nambari one hata kama mume wake hafanyi kazi mlevi anamzabua kila siku,Jukumu la kulea watoto ni la BABA na MAMA kama baba kashndwa mama asimame kidete.

Huyo mwanamke hajashndwa wahudumia hao watoto ila tu ni anakaroho ka sumu ka kuchukia watoto wa mume wake,yani ugomvi wake na mumewe anauleta hadi kwa watoto "yanini"

Siafikiani nae hata iweje aseeee Umeshasema hao n mke na mume afadhali hata ungesema n wapenz wa kawaida tu.
CONTROLA sipingani na wewe ila kumbuka Adam ndie eliepewa jukumu la kuilinda na kuitunza bustani mwanamke ni.msaidizi.
 
Leo hii Mr aniletee mtoto kazaa huko nje nimlee, kiukweli atakua ananitafutia dhambi za bure.

Yaani nitakua kila nikimuona naona ni matokeo ya kuchepuka kwa Mr, hapana sitoweza vumilia kwa kweli siwezi.

Kila mtu apambane na uzao wa tumbo lake.

Mtoto wa ndugu nitalea bila shida yoyote hata wawe wangapi ila sio mtoto wa mume.
 
Hakuna mtu atayempenda mtoto ambae sio wake kwa asilimia 100. Haina jinsia hiyo. Na hata Kama hatamchukia utaona kasoro tu siku zote
 
CONTROLA sipingani na wewe ila kumbuka Adam ndie eliepewa jukumu la kuilinda na kuitunza bustani mwanamke ni.msaidizi.
Usaidizi wenyewe ndio huo sasa alishe watoto,ila asimlishe BABA,watoto ni TUNU jamani hawatakiwi kuteswa kwa namna yeyote,hawatakiwi hata kujua kuwa wewe si mama ake,mpende jitoe,tembea hata peku kwa ajili ya mtoto.

ila usijitese kwa ajili ya mumeo ambae ni mzigo,huyo mwanamume mkimaliza kula osheni vyombo akirud akute hotput nyeupe,yani ukatli wote mfanyie huyo mwanamume ila si watoto wake.

Kutesa watoto kunaonyesha ni jinsi gani hauja qualify kuwa MAMA neno MAMA ni pana sana ukiona MAMA ujue n mzazi aasie tayari hata kuona mtoto waa jirani analia,achilia mbali kula.

MAMA wa kweli akiskia tu hata sauti ya mtoto nyumba ya jirani analia kila siku MAMA ataenda kuuliza whats wrong,ila huyo ni MAMA na s mwanamke.

wanawake wengi wa sasa si kina MAMA ila wamebaki na sifa ya kuwa MWANAMKE,sikubaliani na huyo mama kuumia kisa eti watoto wa mume wake wanakula anachotafuta,Huyo sio mama huyo ni Mwanamke.

Achana na mtoto wa mume wake,huyo mwanamke anaweza toa pesa yake akamnunulia chakula au nguo mtoto wa jirani wa mwanamke mwenzie baki? HAWEZI nakuhakikishia.
 
Back
Top Bottom