The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Imani yao haina shida shida hawajui juu ya kile wanachokiamini, maana imani zipo za aina mbili Imani sahihi na imani Potofu sasa wao wapo kwenye imani potofu
Kwanini ni potofu, ukija kwenye uhalisia vijana ambao wanatakiwa kuoa ni wale wenye kuanzia miaka 30 na kuendelea hata akianzia 25 sio mbaya
Sasa vijana wa lika hili kwa uhalisia wa maisha ya sasa asilimia 80% hawajajipata kimaisha yaani sio matajiri, lakini wao ndio wanatakiwa kuoa
Na wanawake hawataki kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri, hii inasababisha wanawake waanze kusema kuwa kuolewa ni bahati kumbe sio bahati ila wao "HAWATAFUTI WAME, WANATAFUTA WANAUME MATAJIRI" hivi ni vitu viwili tofauti ndio maana huwa nasema wanawake wapumbavu Wanaogopa kuolewa ila wanafurahi kuchezewa, wengi wanaona kuliko kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri ni bora kuendelea kuchezewa tu
Wanaume matajiri wengi tayari ni wame za watu sasa wanawake wanaposema wanataka kuolewa na wanaume matajiri manaake wanataka kuolewa na waume za watu
Kama mwanamke unayejitambua na unayetaka mabadiriko hakikisha hauweki kigezo hiki kama ni kigezo kikuu kwenye kuchagua nani wa kuolewa naye
Achana na misemo ya wanawake wapumbavu wanaosema eti bora kulia ukiwa dubai kuliko kulia ukiwa unakula matembele, Jiulize kwanini wanawake wa matajiri wakubwa wameachana na wanaume zao
Ukiwa haujapitia waliyopitia wanawake wenzio huwezi elewa mpaka siku yakikupata ndipo utaikumbuka ile kauli ya kusema "ni bora ugali na chumvi sehemu yenye amani kuliko wali nyama vitani"
Hao wanaokuchakaza sasa ni matajiri? kwanini usiende kuchakazwa na mume wako wa ndoa, Unataka kuolewa na mwanaume tajiri akati unalalwa na boda boda kwanini usiolewe na huyo boda boda mkaanze kujenga maisha?
Ni wakati wa kubadili mtazamo na kufanya maamuzi yenye msingi sahihi katika safari ya maisha ya ndoa.
Mnaishia kuzalishwa na kutoolewa sababu ya kuiga uamuzi wa wapumbavu wachache wanaowaharibu akili
Ukinichukia nitumie vocha ili niandile ujumbe wa kukusifia kwenye ujinga wako, ila mimi siwezi kutumia bando langu kuandika ujumbe unaosifia ujinga inshort i dont want peace ✌️ 😅😅