Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Wewe umejuaje kwaMba hao wanawAke sio wa hovyo… kinachofanya useme Hamissa ni wa hovyo ni kwasababu ni celebrate ,, hao wake za kina Mo unayajua maisha yao walipokulia…

Katika kitu nina amini sitaki katika maisha yangu nifanye judgments kwa mwanadamu mwenzangu.. coz no one is perfect as long as ur a human…
Tuna ndugu zetu wengi wanatabia mbaya kuliko huyo hamisa ila wamejifichia kwenye Dini… na Kuna watu wengi sana waliozalishwa and still wako na tabia njema

Huko zamani haya mambo hayakuwa na shida na wengine hapa mnakosakosoa huenda hata sio watoto halisi wa baba zenu… ila kwasababu baba zetu wana akili huwezi kukuta wanaponda wanawake mitandaonii
Tena kama hao waarabu wake wanatafutiwa na wazee wao na si mke lazima awe ana background nzuri husizani kama wanaokotana.

Rukaruka tu ila wanaume wanafanya homework kabla ya kuoa, wewe kitembeze kichakazwe na wahuni then uone. Kuna mwanamke wakumaliza nyege na kuoa,sasa utaamua uwe kundi gani.

Mwanaume kwa Mke wake anajali purity.

Zamani si ndio ilikuwa hatari,binti kuolewa ilikuwa lazima awe na bikra,wacheki familia yao kama inajituma na sio wavivu, wanacheki mpaka magonjwa ya ukoo ndio wanamruhusu kijana wao kutoa mahali.
 
Back
Top Bottom