Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Inashangaza Sana hiiHalafu yule kijana aliyekutaka akiwa under 30 akiwa sio tajiri unakutana nae akiwa 40 ni tajiri akiwa na familia,we unasaka mwanaume yeyeto tu ili uondoe gundu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza Sana hiiHalafu yule kijana aliyekutaka akiwa under 30 akiwa sio tajiri unakutana nae akiwa 40 ni tajiri akiwa na familia,we unasaka mwanaume yeyeto tu ili uondoe gundu
Matajiri malofa kama Yule lofa wa Yanga ndio wanaoa malaya na huyo Malaya hafiki 2027 anawekwa benchi.Ushawahi kuona tajiri anaoa bikra
Yaani matajiri wengi sana wanaoa wanawake hao ambao ninyi mnawaponda na baadae mnakuwa vibenteni vyao 🤣🤣
Retired bed to bed midfilder on the beat!!!Pesa kwanza, upendo tutaukuta huko huko🤣
Mtu kakulia ugali tembere na dangaa msumari analeta fantacy za Kisinderela😆😆😆😆anataka kula burger na kwenda night out samakisamaki na wavuvi.Hapo lazima afumuliwe mpaka kisoda hakuna pesa ya bureee....Then in your jouney for searching a rich husband don't blame men who refuse to sponser your lifestyle, insteady blame your broke father and mother, because those are the one who failed you.
Keep dreaming rich guys watakutawanya na kukuzibua mpaka ukome.No free lunch!!!My parents choice can never be mine sawa
She chose a broke guy so neither do I
I have taste for rich men
I'll come surprise you guysKeep dreaming rich guys watakutawanya na kukuzibua mpaka ukome.No free lunch!!!
Huyo mshamba wa Afrika Magharibi anamda mchache sana kwa huyo kipusa.Azizi K amewaonyesha mfano kaoa single mama mwenye watoto wawili tena baba tofauti
Nachotaka kusema test ya mwanamke kila mwanaume anayo ya kwake anayoyataka
Kama mlivyo ninyi mnatamani kupata bikra na sisi tunatamani kupata mwanaume asiechit.. Hakuna mwanamke anaependa ku share mume lakini ndio nature imechukua nafasi
Unataka nani achukue hao matajiri kama sio mm😹😹Yan huyo mwanaume labda umloge, unakuta engine imechoka balaah zen unatakwa mwanaume tajiri… aaathubutu….
Retired!!!! We mbona bado sana.Retired bed to bed midfilder on the beat!!!
Hii ndio point ye yewe lazi.a uwe na tako kama la hamisa ....jamani mburkina e yule ananesa nalo wezere lote lile...kweli tusake helaWadada huku mnatolea mfano wa Hamis na Aziz,je huo uzuri na lile trako la Hamisa kidogo mnalo???
Fine and wait. Dudes must f£<[> you harder and deeper till your puss£ look like a gorgeI'm not Rich but I have a taste for rich men
Acha wivu mkuu.. kila mwanaume anatamani kuwa na mwanamke mzuri… na hao wanawake wazuri nyie maskini munawaita malayaMatajiri malofa kama Yule lofa wa Yanga ndio wanaoa malaya na huyo Malaya hafiki 2027 anawekwa benchi.
Inashangaza mno, eti mtu hana lolote lile analoleta kwenye mahusiano zaidi ya lile tundu tu, anaringa na kutaka mwanamme tajiri wakati yeye mwenyewe ni alosto tu, hawa wanawake waachwe tu wazeekeane....serikali (ustawi wa jamii) itawasaidia uzeeni wakiwa washachoka kusubiri kupigwa pumbu na wanaume matajiri na vibaka wa goli moja kisha chali.Imani yao haina shida shida hawajui juu ya kile wanachokiamini, maana imani zipo za aina mbili Imani sahihi na imani Potofu sasa wao wapo kwenye imani potofu
Kwanini ni potofu, ukija kwenye uhalisia vijana ambao wanatakiwa kuoa ni wale wenye kuanzia miaka 30 na kuendelea hata akianzia 25 sio mbaya
Sasa vijana wa lika hili kwa uhalisia wa maisha ya sasa asilimia 80% hawajajipata kimaisha yaani sio matajiri, lakini wao ndio wanatakiwa kuoa
Na wanawake hawataki kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri, hii inasababisha wanawake waanze kusema kuwa kuolewa ni bahati kumbe sio bahati ila wao "HAWATAFUTI WAME, WANATAFUTA WANAUME MATAJIRI" hivi ni vitu viwili tofauti ndio maana huwa nasema wanawake wapumbavu Wanaogopa kuolewa ila wanafurahi kuchezewa, wengi wanaona kuliko kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri ni bora kuendelea kuchezewa tu
Wanaume matajiri wengi tayari ni wame za watu sasa wanawake wanaposema wanataka kuolewa na wanaume matajiri manaake wanataka kuolewa na waume za watu
Kama mwanamke unayejitambua na unayetaka mabadiriko hakikisha hauweki kigezo hiki kama ni kigezo kikuu kwenye kuchagua nani wa kuolewa naye
Achana na misemo ya wanawake wapumbavu wanaosema eti bora kulia ukiwa dubai kuliko kulia ukiwa unakula matembele, Jiulize kwanini wanawake wa matajiri wakubwa wameachana na wanaume zao
Ukiwa haujapitia waliyopitia wanawake wenzio huwezi elewa mpaka siku yakikupata ndipo utaikumbuka ile kauli ya kusema "ni bora ugali na chumvi sehemu yenye amani kuliko wali nyama vitani"
Hao wanaokuchakaza sasa ni matajiri? kwanini usiende kuchakazwa na mume wako wa ndoa, Unataka kuolewa na mwanaume tajiri akati unalalwa na boda boda kwanini usiolewe na huyo boda boda mkaanze kujenga maisha?
Ni wakati wa kubadili mtazamo na kufanya maamuzi yenye msingi sahihi katika safari ya maisha ya ndoa.
Mnaishia kuzalishwa na kutoolewa sababu ya kuiga uamuzi wa wapumbavu wachache wanaowaharibu akili
Ukinichukia nitumie vocha ili niandile ujumbe wa kukusifia kwenye ujinga wako, ila mimi siwezi kutumia bando langu kuandika ujumbe unaosifia ujinga inshort i dont want peace ✌️ 😅😅
Wanawake sio sawa na wanaume hata akizaa na wanaume wengi anao uhakika wa kusaidiwa na wanawe tofauti na sisi wanaume.Inashangaza mno, eti mtu hana lolote lile analoleta kwenye mahusiano zaidi ya lile tundu tu, anaringa na kutaka mwanamme tajiri wakati yeye mwenyewe ni alosto tu, hawa wanawake waachwe tu wazeekeane....serikali (ustawi wa jamii) itawasaidia uzeeni wakiwa washachoka kusubiri kupigwa pumbu na wanaume matajiri na vibaka wa goli moja kisha chali.
. cc: Lulu Diva, Wema Sepetu, Kajała, Giggy Vishilingi, na machangu wengine wote wa bongo muvi na madada wa mjini wasiojitambua akili
Hayo mambo ya wanawake kuwa na watoto wa baba tofauti hayajaanza leo wala jana.. tangu zamani hayo mambo yapo nyakati hizi tu mitandao imekuwa ikitrendisha hizo habariUpumbavu wa aziz kii sio sababu ya kuhalalisha umalaya wa mobetto. Azizi kii atabaki kuwa mpumbavu na mobetto atabaki kuwa mfano mbaya kwa mabinti wadogo(single maza wa watoto ambao kila mmoja ana baba ake iyo ni sifa chafu sana kwa maadili yetu).
Sawa kila mmoja ana taste yake lakini wanawake huwa mnaishi kwenye fantasy sana, mnapokua kwenye prime yenu mnakua na umrealistic expectation kutoka kwa mwanaume
Wewe umejuaje kwaMba hao wanawAke sio wa hovyo… kinachofanya useme Hamissa ni wa hovyo ni kwasababu ni celebrate ,, hao wake za kina Mo unayajua maisha yao walipokulia…Aziz K ndio mfano wa matajiri? Halafu umewazungumzia wachezaji, hata huko alipotoka alizalisha akaacha,tunza risit uzuri JF haisahau.Unatamani mwanaume asiyecheat mahali unajitolea mwenyewe? Mwenye maamuzi ya ndoa ni mwanaume na ndio maana yy ndiye huamua awe nani.
Mo kapiga, Yusuph kapiga halafu nenda katizame wake zao? Kamtizame mke GSM, njoo kwa Salah, rudi kwa akina Asas uone kama wameoa wanawame wa hovyo.
Umeongea pumba tuHayo mambo ya wanawake kuwa na watoto wa baba tofauti hayajaanza leo wala jana.. tangu zamani hayo mambo yapo nyakati hizi tu mitandao imekuwa ikitrendisha hizo habari
Ukitaka ujue kama hakuna jipya kwenye hilo suala tembelea kanda ya ziwa kule ndio kuna wanaume halisi wasioogopeshwa na mitandao unalikuta lisukuma ama li kurya linaoa mwanamke mwenye watoto na wale watoto wanakuwa wake hata wakati mwingine hupewa ubin wa hilo lijamaa
Ndugu sijaona alichokosea Aziz Key ni nyie tu wenye roho za wivu na chuki kwa masingo maza… hamtaki waolewe
Uzuri singomaza yoyote akitaka kuolewa mwenye hela ndio wengi huwaoa hao single maza.. nazungumza hela sizungumzii hela ya kula milo mitatu… yaani mwanaume mwenye hela hela hela
Ninyi msiokuwa na hela hamuwezi kuwaoa kwasababu hamjiamini
Sasa mtu kama uchumi wako umekuchumu utaoaje single maza unajitafutia balaa tu
EvavaaaMwanamke mwenye haki ya kutaka mwanaume tajiri ni wale bikra tuu.