Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
kuzariwa masikini sio tatizo wala kilemaMimi nawaunga mkono kwani umaskini sio kitu kizuri cha kujivunia na kukichagua[emoji848]
una miaka 25 au 30 unakataje tamaa
wewe bint una miaka 20-25 unamkataaje mpambanaji anayepambana haswa yupo katika 25 - 30
maisha yanabadilika jiulize wewe miaka 5 nyuma ulikuwa wapi kiuchumi na kielimu sembuse miaka 5 mbele unajua mtapiga hatua kiasi gani
hakuna shaka hili lipo wazi MAFANIKIO YA MWANAUME yapo katika baraka za MWANAMKE SAHIHI atayepambana bega kwa bega nae
huwezi kupata mwanaume tajiri ukiwa una akili mgando kuamini utatoka ukipata mwanaume tajiri
na mwanaume tajiri hawezi kuoa mwanamke mpumbavu asiyekuwa na uwezo wa kujitafuta
mwanaume tajiri ataishi KUKUFILA kisha akupe laki 2 au akunununulie IPHONE 16 case closed
uliza burnaboy alichomfanyia demu mmoja nimemsahau jina huko NIGERIA ila pigo zake kam wema aliahidiwa akitoa PAPUCHI atanunuliwa Lamborghini alivyoliwa tu akapigwa chini Anaishia kulalamika mitandaoni