Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Jiulize kwanini wanawake wa matajiri wakubwa wameachana na wanaume zao
🤣🤣🤣🤣🤣 kama masikini hawajaachana na waume zao vile!!!! Tafuta pesa bwana upunguze kujielezea.
 
I choose a broke guy so.we make money at the end he go choose girl of his dreams? That's your advice
Why thinking you aren’t the girl of his dreams while he choose you? Problem is how you handle the situation during the relationship with that broke guy.

If you always insist that you are only entertaining him and perservering him but some other girl would drop him due to the situations then thats a recipe for disaster.

This is a worst mistake that most women do to broke men yet they end up complaining that they are left with men whom they struggled with.
 
My fear is what if he never gets rich 😂😂😂😂
Ayyyy acha niendee Rich guys siwezi huko
 
Hata bibi alikua binti TUSITISHANE 😹😹

Kwanza nyie wenyewe sio matajiri 🤣
Wanawake bikra hamna, na pesa vilevile hamna 😹
Mm n tajiri ila bado huo utajiri kunifikia mikononi mwangu
 
Wanaume matajiri wengi tayari ni wame za watu sasa wanawake wanaposema wanataka kuolewa na wanaume matajiri manaake wanataka kuolewa na waume za watu
Ndio maana sisi wanaume za watu tunapewa tu bila hiyana.
 
Imani yao haina shida shida hawajui juu ya kile wanachokiamini, maana imani zipo za aina mbili Imani sahihi na imani Potofu sasa wao wapo kwenye imani potofu

Kwanini ni potofu, ukija kwenye uhalisia vijana ambao wanatakiwa kuoa ni wale wenye kuanzia miaka 30 na kuendelea hata akianzia 25 sio mbaya

Sasa vijana wa lika hili kwa uhalisia wa maisha ya sasa asilimia 80% hawajajipata kimaisha yaani sio matajiri, lakini wao ndio wanatakiwa kuoa

Na wanawake hawataki kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri, hii inasababisha wanawake waanze kusema kuwa kuolewa ni bahati kumbe sio bahati ila wao "HAWATAFUTI WAME, WANATAFUTA WANAUME MATAJIRI" hivi ni vitu viwili tofauti ndio maana huwa nasema wanawake wapumbavu Wanaogopa kuolewa ila wanafurahi kuchezewa, wengi wanaona kuliko kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri ni bora kuendelea kuchezewa tu

Wanaume matajiri wengi tayari ni wame za watu sasa wanawake wanaposema wanataka kuolewa na wanaume matajiri manaake wanataka kuolewa na waume za watu

Kama mwanamke unayejitambua na unayetaka mabadiriko hakikisha hauweki kigezo hiki kama ni kigezo kikuu kwenye kuchagua nani wa kuolewa naye

Achana na misemo ya wanawake wapumbavu wanaosema eti bora kulia ukiwa dubai kuliko kulia ukiwa unakula matembele, Jiulize kwanini wanawake wa matajiri wakubwa wameachana na wanaume zao

Ukiwa haujapitia waliyopitia wanawake wenzio huwezi elewa mpaka siku yakikupata ndipo utaikumbuka ile kauli ya kusema "ni bora ugali na chumvi sehemu yenye amani kuliko wali nyama vitani"

Hao wanaokuchakaza sasa ni matajiri? kwanini usiende kuchakazwa na mume wako wa ndoa, Unataka kuolewa na mwanaume tajiri akati unalalwa na boda boda kwanini usiolewe na huyo boda boda mkaanze kujenga maisha?

Ni wakati wa kubadili mtazamo na kufanya maamuzi yenye msingi sahihi katika safari ya maisha ya ndoa.

Mnaishia kuzalishwa na kutoolewa sababu ya kuiga uamuzi wa wapumbavu wachache wanaowaharibu akili

Ukinichukia nitumie vocha ili niandile ujumbe wa kukusifia kwenye ujinga wako, ila mimi siwezi kutumia bando langu kuandika ujumbe unaosifia ujinga inshort i dont want peace ✌️ 😅😅
Tamthilia zimewaaribu akili. Wanavyoona kwenye drama za wakorea kijana wa 30+ ni CEO wa kampuni, wanafikiri na ground hali ipo hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom