Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Mimi nawaunga mkono kwani umaskini sio kitu kizuri cha kujivunia na kukichaguašŸ¤”
Mtoa mada hajasema tujivunie umasikini, anachosema ni tuishi kwenye uhalisia.

Kwa mtililiko wa maisha yetu kijana wa 20's bado anajitafuta, kijana wa 30's maisha yameanza kutulia lakini bado sio tajiri, na izo interval mbili za umri ndio miaka ya kijana kuoa.

Wanaobahatika kupata utajiri katika interval iyo ni wachache sana na mara nyingi inakua kupitia kipaji au kuzaliwa kwenye familia yenye ukwasi. Hawa wanaobahatika kutajirika wakiwa wadogo tuseme ni 3% ya wanaume wote, na wanawake wanaotaka mume tajiri ni 80% ya wanawake wote, kwaiyo iyo 3% ya wanaume haiwezi kuoa iyo 80% yote
 
Unachanganya Umasikini na maisha ya kipato cha kawaida. Kwa Tanzania masikini tafsiri yake ni hauna sehemu ya kulala yaani pahala pa kuishi,hauna mavazi,chakula shida, mawasiliano shida.

Wanaume wanaowakwepa au kuwaletea mapozi ni anakaa nyumba ya kupanga ya chumba sebule au chumba kimoja ila master bedroom,ana usafiri pengine ni boda boda au baby walker kama IST au Passo, anakipato cha kuanzia laki 5 au 7 kwa mwenzi na hapo anaweza kuwa na maokoto mengine ya katikati ya mwezi.

Huyu kijana wao humuona bado sio standard kwao. Wanataka ambaye anatokea familia za kishua baba ana pesa mama anapesa,wanamiliki magari 10 yamepaki hapo nje. Myumba zaidi ya idadi ya watoto kwenye familia, kijana awe amesoma nje ya inchi na kadhalika,awe na maokoto ya mwezi kama milioni 3 au 5 kwenda juu. Familia yake wawe watu wa connection za kimafanikio.

Sasa kwa style hii unategemea kuna kuolewa kwa wakati kweli? Wanamtafuta mtu ambaye kukutana nae ni nadra sana na wakikutana nae then kuna wanawake zaidi ya buku wanamfukuzia wapate chance kwake.
 
šŸ˜‚kumbe
 
Mtoa mada hajasema tujivunie umasikini, anachosema ni tuishi kwenye uhalisia.

Kwa mtililiko wa maisha yetu kijana wa 20's bado anajitafuta, kijana wa 30's maisha yameanza kutulia lakini bado sio tajiri, na izo interval mbili za umri ndio miaka ya kijana kuoa.

Wanaobahatika kupata utajiri katika interval iyo ni wachache sana na mara nyingi inakua kupitia kipaji au kuzaliwa kwenye familia yenye ukwasi. Hawa wanaobahatika kutajirika wakiwa wadogo tuseme ni 3% ya wanaume wote, na wanawake wanaotaka mume tajiri ni 80% ya wanawake wote, kwaiyo iyo 3% ya wanaume haiwezi kuoa iyo 80% yote
Kabisa. Takwimu hazicheki na nyani.
 
Wanawake wanapenda fantasy
 
determinant factors za thamani ya mwanaume ni pesa na connections. Determinant factors za thamani ya mwanamke ni virginity na innocence. You got standards you're valiable, you lack standards you're a shit. No excuse for for both sides
I can never have a man who has soul ties more than two
To hell with it
 
Imani yao haina shida shida hawajui juu ya kile wanachokiamini, maana imani zipo za aina mbili Imani sahihi na imani Potofu sasa wao wapo kwenye imani potofu

Kwanini ni potofu, ukija kwenye uhalisia vijana ambao wanatakiwa kuoa ni wale wenye kuanzia miaka 30 na kuendelea hata akianzia 25 sio mbaya

Sasa vijana wa lika hili kwa uhalisia wa maisha ya sasa asilimia 80% hawajajipata kimaisha yaani sio matajiri, lakini wao ndio wanatakiwa kuoa

Na wanawake hawataki kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri, hii inasababisha wanawake waanze kusema kuwa kuolewa ni bahati kumbe sio bahati ila wao "HAWATAFUTI WAME, WANATAFUTA WANAUME MATAJIRI" hivi ni vitu viwili tofauti ndio maana huwa nasema wanawake wapumbavu Wanaogopa kuolewa ila wanafurahi kuchezewa, wengi wanaona kuliko kuolewa na mwanaume ambaye sio tajiri ni bora kuendelea kuchezewa tu

Wanaume matajiri wengi tayari ni wame za watu sasa wanawake wanaposema wanataka kuolewa na wanaume matajiri manaake wanataka kuolewa na waume za watu

Kama mwanamke unayejitambua na unayetaka mabadiriko hakikisha hauweki kigezo hiki kama ni kigezo kikuu kwenye kuchagua nani wa kuolewa naye

Achana na misemo ya wanawake wapumbavu wanaosema eti bora kulia ukiwa dubai kuliko kulia ukiwa unakula matembele, Jiulize kwanini wanawake wa matajiri wakubwa wameachana na wanaume zao

Ukiwa haujapitia waliyopitia wanawake wenzio huwezi elewa mpaka siku yakikupata ndipo utaikumbuka ile kauli ya kusema "ni bora ugali na chumvi sehemu yenye amani kuliko wali nyama vitani"

Hao wanaokuchakaza sasa ni matajiri? kwanini usiende kuchakazwa na mume wako wa ndoa, Unataka kuolewa na mwanaume tajiri akati unalalwa na boda boda kwanini usiolewe na huyo boda boda mkaanze kujenga maisha?

Ni wakati wa kubadili mtazamo na kufanya maamuzi yenye msingi sahihi katika safari ya maisha ya ndoa.

Mnaishia kuzalishwa na kutoolewa sababu ya kuiga uamuzi wa wapumbavu wachache wanaowaharibu akili

Ukinichukia nitumie vocha ili niandile ujumbe wa kukusifia kwenye ujinga wako, ila mimi siwezi kutumia bando langu kuandika ujumbe unaosifia ujinga inshort i dont want peace āœŒļø šŸ˜…šŸ˜…
Mobetooiii njoo huku wape njia unayotumia mdada we n noma
 
I can never have a man who has soul ties more than two
To hell with it
That's not up for discussion. Mwanaume anaweza kuea na mahusiano kabla ya kuwa na wewe na akaanza na wewe akafocus vizuri na mkaenda mbali sana.
 
Sio mbaya kuota au kuwa na matarajio.

Ndio mana binadamu wote tuna FUTURE PLAN

unachokiamini ndicho kitakachotokea maishani mwako.

Hata kisipotokea kwa asilimia 100 lakini lazima kitatokea walau kwa asilimia 50 na zaidi.
 
Mwanamke mwenye haki ya kutaka mwanaume tajiri ni wale bikra tuu.
Huo ni ukweli usiopingika,kupuuzia hilo suala,ndo linataka kupelekea kuhalalisha hadi wadada wanaozalishwa kabla ya kuolewa kuwa si kosa kimaadili.Tungebana hapo pa kusisitiza ubikra,maadili yangerudi kama mwanzo.
Mbona zamani waliweza?
 
Sio mbaya kuota au kuwa na matarajio.

Ndio mana binadamu wote tuna FUTURE PLAN

unachokiamini ndicho kitakachotokea maishani mwako.

Hata kisipotokea kwa asilimia 100 lakini lazima kitatokea walau kwa asilimia 50 na zaidi.
Unapoamini kitu unatakiwa ujazie na jitihada plus uhalisia ndipo kifanikiwe.

Kama vipi hebu amini kuwa wewe ni moja wa wale mabodyguard wa rais halafu vaa suti nenda ikulu bila kuzingatia uhalisia kuwa wewe sio muajiriwa wa ikulu uone balaa lake.
 
Ulichoandika hakina uhalisia
 
Ulichoandika hakina uhalisia
Kabisa na ndio maana nikaandika ili upate picha ya namna mtu akiwa anaongea vitu ambavyo yeye tu binafsi ndie anaviamini ila kiuhalisia havipo then anakuwa ni mwendawazimu.
 
Huo ni ukweli usiopingika,kupuuzia hilo suala,ndo linataka kupelekea kuhalalisha hadi wadada wanaozalishwa kabla ya kuolewa kuwa si kosa kimaadili.Tungebana hapo pa kusisitiza ubikra,maadili yangerudi kama mwanzo.
Mbona zamani waliweza?
Hapa miongo ya katikati kuna ideologies nyingi zilienezwa kupumbaza akili za wanawake na kumnyong'onyeza mwanaume, mfano 50/50, feminism, super woman n.k Bahati nzuri wanaume werevu tumeshafungua code na kuona kuna kitu hakipo sawa, nitatoa mifano michache.

Zamani masuala yote ya kumtukuza mama kuanzia nyimbo mpaka maandiko yalikua yanaungwa mkono mpaka na jamii zote za wanaume. Lakini vijana tuyari tusha-unlock iyo code na kuona baba hatendewi haki maana sacrifices zake kwa ajiri ya familia zinasahaulika. Ndio maana sasa hivi hata hapa jf andiko tread kuhusu wqzazi wako halafu mwaga sifa kwa mama, wanaume watahoji mbona baba amesahaulika.

Ishu nyingine ni ya single maza. Zamani single maza alikua anaonekana ni victim wa tamaa na ulaghai wa mwanaume lakini ukifatilia saiv social narrative inaanza kubadilika. Single maza anaonekana ni mkosaji na kinachomtokea ni consequencies za maamuzi yake mabovu.

Pia kuna suala la feminist. Hawa wanawake walikua wanaheshimika mpaka kwenye jamii za wanaume, kwa kuonekana ninwanawake wa shoka ambao wanapogania haki za wanawake wenzao. Nakumbuka shule ya msingi kwenye historia tumemsoma mama Getrude Mongella amemwagiwa misifa kweli kweli. Lakini ukifatilia saiv utaona mitazamo ya wanaume inaanza kubadilika, hawa feminist wanaanza kuonekana ni tatizo na kikwazo kwa ustawi mzuri wa jamii, sio mashujaa kama ilivyoonekana zamani.

Hata uko kwenye bikira napo tutafika tu, kwa sababu jamii ya wanaume imeshaanza kuamka na kugundua wanafanywa mabwege ambao wamegeuzwa kuwa retirement plan ya wanawake
 
That's not up for discussion. Mwanaume anaweza kuea na mahusiano kabla ya kuwa na wewe na akaanza na wewe akafocus vizuri na mkaenda mbali sana.
I want a man who is already focused not waiting me so he focus
 
Back
Top Bottom