Wewe umejuaje kwaMba hao wanawAke sio wa hovyo… kinachofanya useme Hamissa ni wa hovyo ni kwasababu ni celebrate ,, hao wake za kina Mo unayajua maisha yao walipokulia…
Katika kitu nina amini sitaki katika maisha yangu nifanye judgments kwa mwanadamu mwenzangu.. coz no one is perfect as long as ur a human…
Tuna ndugu zetu wengi wanatabia mbaya kuliko huyo hamisa ila wamejifichia kwenye Dini… na Kuna watu wengi sana waliozalishwa and still wako na tabia njema
Huko zamani haya mambo hayakuwa na shida na wengine hapa mnakosakosoa huenda hata sio watoto halisi wa baba zenu… ila kwasababu baba zetu wana akili huwezi kukuta wanaponda wanawake mitandaonii