GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nakuona profesa Mruma katika ubora wakoHaiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za Awali kabisa ( za Wachovu na Wasiojua ) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka ( Members wana Yanga SC wote wsnajua ) nawaombeni wana Yanga SC tusikubali Abadan na Kesho twendeni TFF ili tuwaambie wawapigie Simu CAF na tuwaambie Watuheshimu na watupange Makundi moja kwa moja.
Bichwa lakoHaiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za Awali kabisa ( za Wachovu na Wasiojua ) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka ( Members wana Yanga SC wote wsnajua ) nawaombeni wana Yanga SC tusikubali Abadan na Kesho twendeni TFF ili tuwaambie wawapigie Simu CAF na tuwaambie Watuheshimu na watupange Makundi moja kwa moja.
Kuna wakati tunakuwaga na ujinga na ushabiki usio na maana kabisa. Viwango hivi vya timu hutegemea performance ya miaka 5 na sio mwaka mmoja. Pamoja na kuwa Simba havuki robo fainali, mwendelezo wa kufikia hatua hii kwa miaka kama minne ndio kunambeba kwenye hizi ranking.Wale washindi wenyewe hawapo ht kwenye 10 ten halafu hao second runner up unadhani vipiii...wao wanashangilia medali tu
Wala usisumbuke kumjibu acha aendelee kuwashikia akili vijana wa mangungu, yanga kakusanya point 20 ndani ya msimu mmoja, Simbwa kakusanya pont 35 ndani ya misimu 5, Sasa nani kapata mafanikio kuliko mwenzake? Na vipi msimu huu anajua yanga atakusanya point ngapi nyingine? Na baada ya iyo misimu 5 yanga atakuwa wapi kwenye ranking za caf Kama alikuwa nafasi ya 75 na ndani ya msimu mmoja akaruka mpaka nafasi ya 18 wenye uelewa wa mambo watakuwa na majibu!Kuna wakati tunakuwaga na ujinga na ushabiki usio na maana kabisa. Viwango hivi vya timu hutegemea performance ya miaka 5 na sio mwaka mmoja. Pamoja na kuwa Simba havuki robo fainali, mwendelezo wa kufikia hatua hii kwa miaka kama minne ndio kunambeba kwenye hizi ranking.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Jifariji!Wala usisumbuke kumjibu acha aendelee kuwashikia akili vijana wa mangungu, yanga kakusanya point 20 ndani ya msimu mmoja, Simbwa kakusanya pont 35 ndani ya misimu 5, Sasa nani kapata mafanikio kuliko mwenzake? Na vipi msimu huu anajua yanga atakusanya point ngapi nyingine? Na baada ya iyo misimu 5 yanga atakuwa wapi kwenye ranking za caf Kama alikuwa nafasi ya 75 na ndani ya msimu mmoja akaruka mpaka nafasi ya 18 wenye uelewa wa mambo watakuwa na majibu!
😃 Fumanizi likasababisha mtu kufyekwa sikio na baadhi ya vidole vya mkono! Baada ya tukio hilo, matunda yake ndiyo haya tunayo yaona sasa.
Punguza ujuaji mwingi wewe, haya waulize Esperance Tunis walioishia Nusu fainal kwanini wameanzia kwenye preliminary 1st round.Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka (Members wana Yanga SC wote wsnajua) nawaombeni wana Yanga SC tusikubali Abadan na Kesho twendeni TFF ili tuwaambie wawapigie Simu CAF na tuwaambie Watuheshimu na watupange Makundi moja kwa moja.