Wanayanga SC Wenzangu hili halikubaliki, upesi sana tuwagomee CAF au tujitoe tu CAFCL kabisa

Wanayanga SC Wenzangu hili halikubaliki, upesi sana tuwagomee CAF au tujitoe tu CAFCL kabisa

Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.

GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka (Members wana Yanga SC wote wsnajua) nawaombeni wana Yanga SC tusikubali Abadan na Kesho twendeni TFF ili tuwaambie wawapigie Simu CAF na tuwaambie Watuheshimu na watupange Makundi moja kwa moja.
Popoma at his best.
 
Punguza ujuaji mwingi wewe, haya waulize Esperance Tunis walioishia Nusu fainal kwanini wameanzia kwenye preliminary 1st round.
Hivi hujauelewa uzi huu wa GENTAMYCINE una maana gani? Jamaa ni mwelewa sana! Hapa, anawakejeri UTOPOLO, kwa wao kujiaminisha kuwa ni wakubwa, kumbe kwa viwango rasmi vya CAF, ni wadogo!
 
Wala usisumbuke kumjibu acha aendelee kuwashikia akili vijana wa mangungu, yanga kakusanya point 20 ndani ya msimu mmoja, Simbwa kakusanya pont 35 ndani ya misimu 5, Sasa nani kapata mafanikio kuliko mwenzake? Na vipi msimu huu anajua yanga atakusanya point ngapi nyingine? Na baada ya iyo misimu 5 yanga atakuwa wapi kwenye ranking za caf Kama alikuwa nafasi ya 75 na ndani ya msimu mmoja akaruka mpaka nafasi ya 18 wenye uelewa wa mambo watakuwa na majibu!
Kwani Yanga ni klabu mpya mkuu au ilikuwa inazuiwa na nani kukusanya points kwenye hiyo miaka ambayo wenzake wanakusanya?
 
Kwahyo yanga imeanzishwa mwaka jana

Back
Top Bottom