Wanayanga SC Wenzangu hili halikubaliki, upesi sana tuwagomee CAF au tujitoe tu CAFCL kabisa

Popoma at his best.
 
Punguza ujuaji mwingi wewe, haya waulize Esperance Tunis walioishia Nusu fainal kwanini wameanzia kwenye preliminary 1st round.
Hivi hujauelewa uzi huu wa GENTAMYCINE una maana gani? Jamaa ni mwelewa sana! Hapa, anawakejeri UTOPOLO, kwa wao kujiaminisha kuwa ni wakubwa, kumbe kwa viwango rasmi vya CAF, ni wadogo!
 
Kwani Yanga ni klabu mpya mkuu au ilikuwa inazuiwa na nani kukusanya points kwenye hiyo miaka ambayo wenzake wanakusanya?
 
Kwahyo yanga imeanzishwa mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…