Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

Hivi huo uwekezaji ni wa kugawa hisa? Au unafanania minajili ya ‘Build Operate Transfer’ (BOT) na mambo kama hayo.

Uelewa wa mikataba hii nchi ni shida sana apparently.
 
Naunga mkono HOJA.

KATIBA imevunjwa, tuutafute namna ya kuwawajibisha wote waliokiuka kiapo Cha kulinda na kuitetea Jamuhuri.
Wanazuoni sikuwaona wakijitokeza na matamko kipindi cha utawala wa awamu ya 5......[emoji1787][emoji1787]

Kweli DEMOKRASIA inahitaji uwe na uvumilivu mkubwa sana wa MATUSI KEDEKEDE.....[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sera zetu za mambo ya nje hazifungamani na upande wowote.....


Wamejiita WANAZUONI...inawezekana wakawa ni WAHAFIDHINA WA SERA ZAO WANAZOJUA WENYEWE.....

Mwanazuoni mwelewa wa sera za nchi anawashambulia baadhi ya nchi wadau wa Tanzania na kutetea wadau wengine ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Marekani ..

Marekani...

China....

China.....

Tanzania si taifa la KIKOMUNISTI...
Tanzania si taifa la KIBEBERU....

#SiempreJMT[emoji120]

Rest easy El Commandante JKN [emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom