Wangapi bado mnamkumbuka Muhammad Saeed al-Sahhaf?

Wangapi bado mnamkumbuka Muhammad Saeed al-Sahhaf?

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Muhammad_Saeed_al-Sahhaf.png

Muhammad Saeed al-Sahhaf kwa mnaokumbuka vizuri alikuwa ni waziri wa habari wa serikali ya Iraq na alijulikana sana kwa propaganda alizokuwa anapiga.

Wakati ule wa vita ya Marekani na Iraq nakumbuka nilikuwa bado nasoma sekondari na katika vita ile nilikuwa mshabiki wa Iraq.

Kutokana na propaganda za jamaa watu wengi tuliokuwa mashabiki wa Iraq tuliamini Iraq ingeshinda vita ile, kuja kushtuka kumeshakucha Sadam kesha katwa kichwa kumbe jamaa lilikuwa linatufunga fix.

Nimeona tukumbushane haka kastori kana maana kubwa sana kwetu

HUyo jamaa ni kiboko ya viboko wa wana-propaganda dunini! Vita vya Iraq ni vita ambayo niliifuatilia kwa mapana na marefu kwavile nilikuwa home tu, sina hili wala lile kwahiyo muda mrefu nilikuwa na CNN kuangalia what's going on in Iraq!

Siku nimekoma na huyo Mzee ni pale Majeshi ya Marekani walipouteka Uwanja wa Ndege wa Baghdad! Waandishi wa Habari wakamwendea Muhammad Al Sahaaf na kumuuliza ikiwa ni kweli Uwanja wa Baghdad imedondokea mikononi mwa adui! Nukuu isiyo rasmi nakumbuka alijibu: "That's completely unbase, that's not true... that's not true! Why not to take them to... haahahaa... to Sadam Airport?! Yah, this's silly... Hoohoohaa...!"

Al Sahaaf alidondosha kicheko cha dharau to the point ikaonekana kumbe habari za kutekwa kwa Uwanja wa Ndege wa Baghdad zilikuwa ni proganda za Marekani kumbe ni kweli umetekwa!

"The Cruise missiles do not frighten anyone. We are catching them like fish in a river. I mean here that over the past two days, we managed to shoot down 196 missiles before they hit their target."

"We made them drink poison last night and Saddam Hussein's soldiers and his great forces gave the Americans a lesson which will not be forgotten by history. Truly."

Clips collection ya mikutano yake na Media:

Binafsi niliumia sana kuona Marekani wakimtandika Saadam Hussein nyumbani kwake. Nashangaa viongozi wetu wanawaacha watu wanaovuruga amani ya nchi hii kwa kisingizio cha Demokrasia wakati baba wa demokrasia anaua kila siku
 
HUyo jamaa ni kiboko ya viboko wa wana-propaganda dunini! Vita vya Iraq ni vita ambayo niliifuatilia kwa mapana na marefu kwavile nilikuwa home tu, sina hili wala lile kwahiyo muda mrefu nilikuwa na CNN kuangalia what's going on in Iraq!

Siku nimekoma na huyo Mzee ni pale Majeshi ya Marekani walipouteka Uwanja wa Ndege wa Baghdad! Waandishi wa Habari wakamwendea Muhammad Al Sahaaf na kumuuliza ikiwa ni kweli Uwanja wa Baghdad imedondokea mikononi mwa adui! Nukuu isiyo rasmi nakumbuka alijibu: "That's completely unbase, that's not true... that's not true! Why not to take them to... haahahaa... to Sadam Airport?! Yah, this's silly... Hoohoohaa...!"

Al Sahaaf alidondosha kicheko cha dharau to the point ikaonekana kumbe habari za kutekwa kwa Uwanja wa Ndege wa Baghdad zilikuwa ni proganda za Marekani kumbe ni kweli umetekwa!

"The Cruise missiles do not frighten anyone. We are catching them like fish in a river. I mean here that over the past two days, we managed to shoot down 196 missiles before they hit their target."

"We made them drink poison last night and Saddam Hussein's soldiers and his great forces gave the Americans a lesson which will not be forgotten by history. Truly."

Clips collection ya mikutano yake na Media:

Huyu jamaa alikuwa burudani sana...nakumbuka wakati huo nilikuwa chuo kikuu. Nakumbuka alivyokuwa akipiga uongo huku anajua wanapewa kichapo cha nguvu 'we are pounding then with heavy artillery...'. Wamarekani hawakuhangaika nae baada ya kumpindua Saddam maana alikuwa irrelevant.
 
Mbona hata JF wako wengi hao wakina Muhammad Saeed al-Sahhaf, soma comments zao utawajua.
 
mimi naipenda nchi yangu niko tayari kuisaidia polisi maana panya road wanasumbua sana wananchi
 
Uzalendo wa hali ya juu. Baadae akawa mtangazaji sina hakika hadi sasa au laa
 
Ha ha nakumbuka mwishoni kabisa aliwatisha kwa kuchora mistari ya red zone na kuwaambia anawasubiria Waingie Baghdad makaburi yao ndiko yaliko wanajeshi wa marekani
 
"Nchi inakuwa kiuchumi kwa 7.2%"
World Bank
"Nchi imepormoka kiuchumi"
"Makusanyo yameongezeka kufikia wastani wa tri 1.5"
Uhalisia "hakuna fedha za dawa,chanjo,wala ya mikopo"
 
Aisee, humu nchini wapo akina alsahaf? Kama huogopi taja wawili tu.
 
Muhammad Saeed al-Sahhaf kwa mnaokumbuka vizuri alikuwa ni waziri wa habari wa serikali ya Iraq na alijulikana sana kwa propaganda alizokuwa anapiga. Wakati ule wa vita ya Marekani na Iraq nakumbuka nilikuwa bado nasoma sekondari na katika vita ile nilikuwa mshabiki wa Iraq. Kutokana na propaganda za jamaa watu wengi tuliokuwa mashabiki wa Iraq tuliamini Iraq ingeshinda vita ile, kuja kushtuka kumeshakucha Sadam kesha katwa kichwa kumbe jamaa lilikuwa linatufunga fix.

Nimeona tukumbushane haka kastori kana maana kubwa sana kwetu

unamaanishha akina philp mpango na jenista mhagama, kule bungeni ni kama alsahafu wa iraq, naona wanapambana kuitetea serikali ya mzee wa maganda ya korosho wakati tayari nchi iko hoi kiuchumi
 
unamaanishha akina philp mpango na jenista mhagama, kule bungeni ni kama alsahafu wa iraq, naona wanapambana kuitetea serikali ya mzee wa maganda ya korosho wakati tayari nchi iko hoi kiuchumi

Sina 7m
 
Back
Top Bottom